Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
swali la pili,Swali la kwanza kujiuliza;je yuko hai?
Je, yu mzima wa afya!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
swali la pili,Swali la kwanza kujiuliza;je yuko hai?
Kama madai hayo ni ya kweli then, muosha anatakiwa aoshwe! MzeeJob ndo aliongoza kufukuza wabunge bungeni ktk jina la utoro.Job Ndugai yuko nyumbani ila kila kikao cha bunge analipwa posho na mshahara unaingia bank kila mwezi.
Tanzania nchi hii ni ngumu sana.
Bunge litangaze tu halijuhi alipo ndunhai na limvue ubunge kwa mujibu wa shweiaUongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai.
Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na nakala kuwasilishwa kwa Katibu wa Bunge kutoa taarifa juu ya uamuzi wa kuachia ngazi.
Alipotafutwa na Nipashe jana Aprili 7, 2022 kwa simu kuzungumzia kutoonekana huko bungeni kwa Mbunge wa Kongwa, kushiriki vikao vya Mkutano wa Bunge la Bajeti vilivyoanza Jumanne ya wiki hii, vikitanguliwa na shughuli za kamati za kudumu za Bunge, Katibu wa Bunge, Nene wa Mwihambi alisema Ndugai yuko jimboni kwake.
"Hayupo bungeni maana yake (Ndugai) yuko jimboni. Sina barua kuhusu suala hilo. Mbunge asipokuwapo bungeni, maana yake yuko jimboni kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Bunge."
"Ni mapema mno, ndiyo kwanza kumefanyi ka vikao viwili vya Mkutano wa Bunge la Bajeti, tulianza Jumanne.. (Ndugai) ana muda wa kutosha, atakuja kuungana na wabunge wenzake kushiriki vikao vya Bunge.
Kanuni za Kudumu za Bunge zinaelekeza miongoni mwa sababu za kukoma kwa hadhi ya ubunge ni kutohudhuria mikutano mitatu mfululizo ya Bunge pasina kutoa taarifa kwa Spika, kifo, kufutwa uanachama wa chama cha siasa, kujiuzulu ubunge na kutiwa hatiani kwa makosa ya jinai yanayosababisha kifungo cha zaidi ya miezi sita gerezani.
Nipashe ilipomtafuta Ndugai kwa simu jana Aprili 7, 2022 saa 6:48 mchana, simu yake ya kiganjani iliita kwa sekunde chache, ikakatwa kisha ukatumwa ujumbe mfupi wa maandishi kutoka kwe nye simu hiyo ukiwa na neno moja linalohoji nani?
Mwandishi alijitambulisha kwa sms lakini hakujibiwa na simu haikupokelewa.
Source: Nipashe
Au wam-Joshuwe Nasari!Hayo Ni maelekezo anafuata kutoka msoga ...akiyakiuka wanamtundu lissu
Hawezi kwenda bungeni tena
Uzuri wa msumeno huwa unakata mbele na nyuma !! Ngoja na yeye mwenyewe ajionee kuwa kumbe ni kweli huwa unakata mbele na nyuma !! SHERIA NI MSUMENO HUKATA MBELE NA NYUMA !! UKIONA LEO IMEMBANA FULANI UJUWE KESHO ITAKUJA KUKUBANA WEWE MWENYEWE !!Yaani serikali imuogope ndugai?, Hivi unafikiri hata ndugai akisema sio yeye aliyeandika ile barua nini kitatokea, wananchi wataipindua serikali au?
Sawa muhasibuJob Ndugai yuko nyumbani ila kila kikao cha bunge analipwa posho na mshahara unaingia bank kila mwezi.
Tanzania nchi hii ni ngumu sana.
Issue ya Spika Ndungai si ndogo. Either itabidi gharama ya uchaguzi jimboni kwake au akabembelezwe! Hili kurudi bungeni ni gumu mno na itakuwa mara ya kwanza kihistoria kwa spika mstaafu!
I think issue yake ilipelekwa kihasira mno na kuli manage thereafter ni mtihani mgumu. Pamoja na wengi hatupendi mwenendo wa Ndugai lakini mwisho wake ktk hili utamjenga yeye zaidi.
Unaweza kulazimisha ajiuzuru ila huwezi kumbeba au kumsukuma aingie bungeni! Mtego mgumu!
Ukisoma kanuni sio jukumu la bunge... Ila nijukumu la mbunge kutoa taarifa kwene mhimili... Yeye katibu ata hesabu tu vikao vitapofika vikao vitatu mfululizo bila mahudhurio ndio katibu wa bunge atatoa taarifa kwa spika... Spika akithibitisha mbunge husika hakuhudhuria bila kibali vha spika wala taarifa hukoma kuwa mbunge.... Hivo kikanuni bunge halina huo muda wakumfatilia mbunge na ndo. Maan amesema wenda yupo jimbon kwake Maan ndo ilipo ofisi ya mbungeInaonekana hata huyo Katibu wa bunge nae hajui Ndugai alipo ameamua kutoa jibu la jumla "atakuwa jimboni kwake"
Wao kama taasisi kwanini wasichukue hatua ya kujua mahali alipo mwenzao ili waje na majibu ya uhakika?
Hapa kuna jambo linafichwa, inawezekana serikali na bunge wanaogopa "kumuachia huru" Ndugai asije kutoa siri za ile barua ya kujiuzulu, au Ndugai mwenyewe anaona aibu kwenda bungeni akakae kwenye viti vya wabunge wa kawaida.
Nachosubiri kuona vifike hivyo vikao vitatu Ndugai awe hajaonekana bungeni halafu nione kama watamfukuza bungeni kama sheria inavyotaka, hapa ndipo patakuwa patamu na hizo "siri" zao zote zitafichuka.
mambo ya kutegemea mwadamu.. angekuwepo JPM yasingemkuta hayaJob amemaliza kazi vibaya!
Lakini bado watu hawaoni funzo ndani ya tukio kama hili!Muumba ni fundi aisee. Ndugai leo amekua mtoro bungeni!!!!. Huyu aliyemfuta Lisu ubunge huku akijua anatibiwa majeraha ya risasi hajui kanuni za kuomba ruhusa bungeni kweli? Dah!!! Nashindwa kuiamini hii japo ni kweli. Nasikia anayoroshwa putaputa hata maji ya kunywa anapewa kwa ruhusa maalum
Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai.
Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na nakala kuwasilishwa kwa Katibu wa Bunge kutoa taarifa juu ya uamuzi wa kuachia ngazi.
Alipotafutwa na Nipashe jana Aprili 7, 2022 kwa simu kuzungumzia kutoonekana huko bungeni kwa Mbunge wa Kongwa, kushiriki vikao vya Mkutano wa Bunge la Bajeti vilivyoanza Jumanne ya wiki hii, vikitanguliwa na shughuli za kamati za kudumu za Bunge, Katibu wa Bunge, Nene wa Mwihambi alisema Ndugai yuko jimboni kwake.
"Hayupo bungeni maana yake (Ndugai) yuko jimboni. Sina barua kuhusu suala hilo. Mbunge asipokuwapo bungeni, maana yake yuko jimboni kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Bunge."
"Ni mapema mno, ndiyo kwanza kumefanyi ka vikao viwili vya Mkutano wa Bunge la Bajeti, tulianza Jumanne.. (Ndugai) ana muda wa kutosha, atakuja kuungana na wabunge wenzake kushiriki vikao vya Bunge.
Kanuni za Kudumu za Bunge zinaelekeza miongoni mwa sababu za kukoma kwa hadhi ya ubunge ni kutohudhuria mikutano mitatu mfululizo ya Bunge pasina kutoa taarifa kwa Spika, kifo, kufutwa uanachama wa chama cha siasa, kujiuzulu ubunge na kutiwa hatiani kwa makosa ya jinai yanayosababisha kifungo cha zaidi ya miezi sita gerezani.
Nipashe ilipomtafuta Ndugai kwa simu jana Aprili 7, 2022 saa 6:48 mchana, simu yake ya kiganjani iliita kwa sekunde chache, ikakatwa kisha ukatumwa ujumbe mfupi wa maandishi kutoka kwe nye simu hiyo ukiwa na neno moja linalohoji nani?
Mwandishi alijitambulisha kwa sms lakini hakujibiwa na simu haikupokelewa.
Source: Nipashe
Tabia yake mbaya ndiyo imemcostMTU unaweza ukapata high blood pressure !! Ukikiangalia kile kiti ulichokuwa ukikikalia kwa sasa yupo mwingine ! Duh! Kweli hii ni SIHASA !!!
Mungu anamlipa hapahapa duniani.Inaonekana hata huyo Katibu wa bunge nae hajui Ndugai alipo ameamua kutoa jibu la jumla "atakuwa jimboni kwake"
Wao kama taasisi kwanini wasichukue hatua ya kujua mahali alipo mwenzao ili waje na majibu ya uhakika?
Hapa kuna jambo linafichwa, inawezekana serikali na bunge wanaogopa "kumuachia huru" Ndugai asije kutoa siri za ile barua ya kujiuzulu, au Ndugai mwenyewe anaona aibu kwenda bungeni akakae kwenye viti vya wabunge wa kawaida.
Nachosubiri kuona vifike hivyo vikao vitatu Ndugai awe hajaonekana bungeni halafu nione kama watamfukuza bungeni kama sheria inavyotaka, hapa ndipo patakuwa patamu na hizo "siri" zao zote zitafichuka.
Dahh.. yani tulipokuwa tumefika aisee!??