Bunge lazima kumhoji mkuu wa JWTZ au waziri wa ulinzi. Usalama wa taifa. Lt.Col. Seromba

Bunge lazima kumhoji mkuu wa JWTZ au waziri wa ulinzi. Usalama wa taifa. Lt.Col. Seromba

Je, unataka hiyo kikao maalum ?

  • Ndio nataka.

    Votes: 22 88.0%
  • Hapana sitaki.

    Votes: 3 12.0%

  • Total voters
    25

Youandme

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
200
Reaction score
113
Habari za mchana,

Naomba Bunge letu ifanye kikao maalum ya kumhoji mkuu wa JWTZ au waziri wa ulinzi kuhusu Lt. Col. Seromba.
Watanzania wanataka kujua ukweli. Watanzania, lazima tujue huyo Lt. Col. Seromba:
- alikuwa anafanya nini ?
- anatoka wapi ?
- cheo chake inamruhusu kuona/kupata/kusoma nini Jeshini ?
- pahali anaweza kukimbilia ?
- mafunzo gani ilipata ?

Je, Jeshi wamekagua wanajeshi wote ( uwezekano wa askari wapelelezi) ?
Hatua gani JWTZ imechukua ?
Je, Jeshi wamekagua computer zote ( uwezekano wa virus ) ?

Watanzania, tusisahau kama tuko katika kipindi cha misukosuko:
- Iran inatumia bendera ya Tz (labda ni USA, UK au Israel inapeleleza);
- uhusiano wa kijeshi kati yetu na China au na North Korea ;
- NSA ya USA na upelelezi wao duniani kote ;
- madawa ya kulevya ( isije ikawa story ya Guinea ) ;
- uhusiano mbaya na EAC (Rwanda na Kenya);
- uranium na uhusiano na makampuni ya Russia (nakupa uranium, unanipa silaha);
- gas na uhusiano na makampuni ya China (nakupa gas, unanipa silaha) ;
- etc.

Mungu Ibariki Tanzania.

- Anonym poll
- Leta idea yako
 
maoni yangu kila mtz apige kura 2015 tuiweke chadema madarakani kila kitu kitakaa sawa!
 
Labda tuanze na slaa aliyesema nchi haitatawalika na kudai chadema inawanausalama makini kuliko wale wa taifa.suala la mwampamba na shoza juu ya kupanga kumuua zitto kwa kumpa sumu ben saanane ili amuu zito,ni muendelezo wa sera ya chadema.
 
m 23 $/~^/$*$!$!]!!;'????
 
Last edited by a moderator:
siku hizi masuala muhimu hatuyapendi tunapenda vitu rahisi kusikia.Kama nchi hii ikiendelea na jinsi ya tunavyofikiri sijui tutaishia wapi miaka 20 ijayo.Watu tunapenda vyama kuliko nchi,tunapenda misaada kuliko kutumia mbongo zetu kutatua matatizo yetu
 
labda tuanze na slaa aliyesema nchi haitatawalika na kudai chadema inawanausalama makini kuliko wale wa taifa.suala la mwampamba na shoza juu ya kupanga kumuua zitto kwa kumpa sumu ben saanane ili amuu zito,ni muendelezo wa sera ya chadema.

hawa m 23 kwakweli nitatizo,,,,,kwanini msianze na kagame kwanza anayewapa suport nakuhatarisha amani ya maziwa makuu
 
maoni yangu kila mtz apige kura 2015 tuiweke chadema madarakani kila kitu kitakaa sawa!
uwezo wa chadema bado mdogo sana, nyie mnaweza kung'oa mic pale bungeni na kutukana, hamuwezi ongoza nchi, vipofu wa mikakati mtatuingiza shimoni tuwe kama somalia..viongozi wenu hawana hata familia ndio kuwa viongozi wa nchi, acha kuota ndugu..
 
hiyo ni kamati ya ulinzi na mambo ya nje ndugu,jaani bunge lote likae kumhoji mtu 1 si itakuwa uonevu?
 
Labda tuanze na slaa aliyesema nchi haitatawalika na kudai chadema inawanausalama makini kuliko wale wa taifa.suala la mwampamba na shoza juu ya kupanga kumuua zitto kwa kumpa sumu ben saanane ili amuu zito,ni muendelezo wa sera ya chadema.
naona mchana huu unatafutia unga hii ID,asubuhi ulikuwa busy na Ifyeero.
 
Habari za mchana,

Naomba Bunge letu ifanye kikao maalum ya kumhoji mkuu wa JWTZ au waziri wa ulinzi kuhusu Lt. Col. Seromba.
Watanzania wanataka kujua ukweli. Watanzania, lazima tujue huyo Lt. Col. Seromba:
- alikuwa anafanya nini ?
- anatoka wapi ?
- cheo chake inamruhusu kuona/kupata/kusoma nini Jeshini ?
- pahali anaweza kukimbilia ?
- mafunzo gani ilipata ?

Je, Jeshi wamekagua wanajeshi wote ( uwezekano wa askari wapelelezi) ?
Hatua gani JWTZ imechukua ?
Je, Jeshi wamekagua computer zote ( uwezekano wa virus ) ?

Watanzania, tusisahau kama tuko katika kipindi cha misukosuko:
- Iran inatumia bendera ya Tz (labda ni USA, UK au Israel inapeleleza);
- uhusiano wa kijeshi kati yetu na China au na North Korea ;
- NSA ya USA na upelelezi wao duniani kote ;
- madawa ya kulevya ( isije ikawa story ya Guinea ) ;
- uhusiano mbaya na EAC (Rwanda na Kenya);
- uranium na uhusiano na makampuni ya Russia (nakupa uranium, unanipa silaha);
- gas na uhusiano na makampuni ya China (nakupa gas, unanipa silaha) ;
- etc .

Mungu Ibariki Tanzania.

- Anonym poll
- Leta idea yako

binafsi naunga mkono hoja yako na naona kwa namna moja kama maswali yakijibiwa ipasavyo basi yataleta majibu stahili kwa watanzanaia.

hofu yangu ni kwamba majibu haya yanaweza kuwa ya kisiasa kabisa na hivyo kuwa ni uongo usiokuwa na tija kwa taifa. uwezekano wa kuambiwa uongo ni mkubwa sana na pia uwezo wa kuwa na ukihiyo ama pandikizi pia ni mkubwa.
 
hapa sijaelewa, story ya Guinea ni nini ?

DEA(drug enforcement administration) ya USA ilifanya operation moja kali sana, wakamfunga mkuu wa Jeshi wa nchi hiyo. Huyo mkuu alikuwa na deal na mafia ya Colombia na South America. jeshi ya nchi hiyo ilikuwa inasaidia kupitisha drug kuenda USA au EU.

PS: I don't say that our army works with mafia, NO
 
H
- cheo chake inamruhusu kuona/kupata/kusoma nini Jeshini ?
- pahali anaweza kukimbilia ?
-

Ndugu yangu tumeliwa, kwa mujibu wa JW wenyewe walisema huyu alikuw aMtaalamu wa mifumo ya Komputa, na wakubwa wote piengine hata Mwamunyange mwenyewe alikuwa anategemea kufundihswa na huyu mtu, Kwa watu wanofanya kazi za ICT na hasa za Support watakubaliana na mimi tukiwa maofisini humu almost siri zote za wakubwa na ofisi huwa tunazijua na tukizitaka ni mwendo wa kubofya tu na kila kitu kipo wazi.

Kumbuka tena walisema huyu alikuwa mkufunzi wa ICT na alikuwa nafundisha hao wakubwa.
 
DEA(drug enforcement administration) ya USA ilifanya operation moja kali sana, wakamfunga mkuu wa Jeshi wa nchi hiyo. Huyo mkuu alikuwa na deal na mafia ya Colombia na South America. jeshi ya nchi hiyo ilikuwa inasaidia kupitisha drug kuenda USA au EU.

asante sana kwa ufafanuzi maridhawaaaa
 
Back
Top Bottom