Bunge letu miaka nenda Rudi wanajadiri ujenzi wa barabara!! serious?

Bunge letu miaka nenda Rudi wanajadiri ujenzi wa barabara!! serious?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Wakuu Nina miaka sisikilizi bunge na Jana nikabahatika kusikiliza Sina uhakika kama lilikuwa live au ni marudio ya miaka ya nyuma huko.

Takribani dk 7 nikiwa mahali nasubiria kupata huduma zilitosha kabisa kujua kumbe tangu niache kusikiliza bunge Hadi Leo Bado vitu vilevile vinajadiliwa bungeni?

Kinachojadiliwa ni maji, barabara nk. Zaidi ya yote wabunge walio wengi umri umeenda sana ni Wakati Sasa wakuwaachia vijana waingie bungeni nao tuone mawazo Yao.


Itoshe Kwa kusema hakuna maoni au plan za miaka 5-100 ijayo kuwa Taifa hili litakuwa na uchumi au litakuwa limepiga hatua zipi ni hakuna?
Screenshot_20230414-201616_1.jpg
 
Wakuu Nina miaka sisikilizi bunge na Jana nikabahatika kusikiliza Sina uhakika kama lilikuwa live au ni marudio ya miaka ya nyuma huko.

Takribani dk 7 nikiwa mahali nasubiria kupata huduma zilitosha kabisa kujua kumbe tangu niache kusikiliza bunge Hadi Leo Bado vitu vilevile vinajadiliwa bungeni?

Kinachojadiliwa ni maji, barabara nk. Zaidi ya yote wabunge walio wengi umri umeenda sana ni Wakati Sasa wakuwaachia vijana waingie bungeni nao tuone mawazo Yao.


Itoshe Kwa kusema hakuna maoni au plan za miaka 5-100 ijayo kuwa Taifa hili litakuwa na uchumi au litakuwa limepiga hatua zipi ni hakuna.View attachment 3299706
Acha arrogance we fukara,
 
Imagine miaka 60+ ya uhuru bado wanakomaa na bara bara tu, Barabara zenyewe sasa zinaishia njiani hazimaliziwi

Refer mwendokasi kimara - Kibaha! Hakuna kituo ni mnyoosho tu!

Izo barabara za kuingia mitaani sasa utalia! Ni mbovu utadhani tunaongozwa na majiwe na sio viongozi.

Ila hela za magoli aah!, Kulipia madeni zenji aah!
 
Haujaja na ushauri wajadili nini.

Huu ni mwaka wa uchaguzi sio wa kupishana achukue mwingine nafasi bali kushindana, hivyo wewe pia unanafasi au ndugu yako nk aende kushindana

Vile vile kugombea hakuna ukomo wa umri, hivyo usitake kupora haki za watu/watanzania

Nakushauri hacha kulalamika kachukue fomu
 
Back
Top Bottom