Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?

Wasira, ni Mwenyekiti wa Board hana mshahara. Uzoefu wake ni mkubwa kutoa ushauri

Pili, lini Wasira au Bulembo wame post au kutoa taarifa za kujipendekeza hata kama ni za uongo toka Samia awe Rais?
Kumbe hujui hata kitu unachoandika, alikudanganya nani kwenye bodi hawalipwi?

Halafu kama hujui Wasira ni mjumbe wa Kamati kuu ya Ccm na ameteuliwa na Mwenyekiti.

Unaweza kuwa na macho lakini huoni.
 
Kumbe hujui hata kitu unachoandika, alikudanganya nani kwenye bodi hawalipwi?

Halafu kama hujui Wasira ni mjumbe wa Kamati kuu ya Ccm na ameteuliwa na Mwenyekiti.

Unaweza kuwa na macho lakini huoni.
Yuko Payroll gani ya serikali Mwenyekiti? Au una jua umri wa ajira serikalini ni ngapi?
 
Bunge la hovyo linalotokana na uchaguzi wa hovyo uliozalisha viongozi wa hovyo tulionao sasa.
Waandishi wa habari mmekuwa wa hovyo sana, hebu pitia kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo kama kina uhusiano ulichokibandika hapa
 
Yuko Payroll gani ya serikali Mwenyekiti? Au una jua umri wa ajira serikalini ni ngapi?
Baki na ujinga wako, kwani kina Bulembo wanaingia payroll ipi?

Hivi kichwani uko sawa wewe? Unadhani maslahi bora yanapatikana kwa mtu kulipwa mshahara? Kuna watu mishahara yao wala hawaigusi unaingia tu bank na wala hawakumbuki kama kuna mshahara.
 
Baki na ujinga wako, kwani kina Bulembo wanaingia payroll ipi?

Hivi kichwani uko sawa wewe? Unadhani maslahi bora yanapatikana kwa mtu kulipwa mshahara? Kuna watu mishahara yao wala hawaigusi unaingia tu bank na wala hawakumbuki kama kuna mshahara.
Un jiita PhD na ujinga umekujaa. Jibu hoja kenge wewe.
 
Bunge gani lile ambalo kila anayepata nafasi ya kuongea anaanza kwa kumshukuru Samia Suluhu Hassan badala ya wapigakura waliowaweka madarakani?

Ule ni mkusanyiko wa wadudu waharibifu mfano wa kunguni mchwa na chawa waliotengewa ulaji wa uhakika na kujisemea chochote baada ya kuvimbiwa.
 
Ngoja tujibu hoja yako kwa mtindo wa swali!!

Kwa yanayoendelea na yaliyofanyika je ni makosa kufikiria bunge letu limejaa wahuni? Je serikali kupeleka mkataba ule bungeni na bunge kutumika kuupitisha ukiwa tayari umesainiwa sio uhuni? Haya ni maswali!
 
Umeandika vizuri. hapa hutaitwa kuhojiwa. Ki msingi tunachangamoto ya mfumo. Mimi nionavyo Bunge letu halina meno ya kibunge kama lilivyopewa mamlaka na katiba yetu. Kwanza wapo baadhi ya wabunge elimu zao ni ndogo lakini wabishi na wajuaji.
Hivi wabunge ni wateule wa Rais?? Kwanini Mbunge hawezi kumaliza mchango wake bila kusifu ili Hali anaowawakilisha Wana Hali mbaya.
lakini wapo wabunge na mawaziri ambao mbele ya Watanzania hawaaminiki. Ni jeuri ya mamlaka ya uteuzi tu kuendelea kuwepo kwenye nafasi zao.
kwa hiyo siyo wahuni Bali mfumo uliojengwa huko nyuma na sasa unaliangamiza taifa .
Katiba mpya na kubadilika kwa fikra za Watanzania hasa katika elimu ya uraia,kuhoji na kuwa na kisomo jadidi pamoja na uzalendo( maximum state interest) inaweza kuwa tija .
Watanzania tuipende na tuifanyie kazi nchi yetu.
 
Jee wewe Paskali unasemaje kuhusu wabunge hawa ni wahuni au siyo wahuni? Jibu tafadhali Mami
 
Ni aibu sana watu genuine na wenye heshima kama charles kimei kuwa kwenye bunge la wapumbavu kama hilo.
Watu genuine na wenye heshima? Come on Superbug, you've got to be kidding and please for god sake just call a spade by its name.

Mtu genuine na mwenye heshima anafanya nini kwenye kambi ya mafisadi? If it walks like a duck and quacks like a duck, it is a duck. Birds of a feather, fly together.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…