Bunge lichunguze mkataba wa Tsh bilioni 65 ilioingia Tanesco na kampuni ya Wahindi kuna harufu ya wizi

Na wewe umo nini kwenye hayo ma 10%
Kwani ikijulikana hakuna ufisadi shida iko wapi kama mnaemtetea mnajua hajaharibu?
10% ziko madege huko alinunuliwa cash....mwingine story
 
Sukuma gang kazini nyie buku ngapi mnajua ? Jirani Cheng na zama nimepita......mngetulia tu Mpare heshima ndogo iliobakia hiyo vita ya keyboard hutaweza
Kwa ujinga huu sukuma gang inapotezaje heshima? Lambard kwa taarifa yako kwa maelezo mambo ni mazuri lkn kiuhalisia mambo ni mabaya sana,bei za bidhaa juu maji tatizo umeme tatizo miradi ya kimkakati yote ina dorola mama anakusanya genge la wahuni Kama wasaidizi wake,tunasubiri kishindo cha mwanguko.
 
Naunga mkono hoja.
Huo mkataba ni mbovu kwa sababu zifuatazo
1. Uwezo wa ndani wa kutengeneza system kama hiyo watakayotengeneza wahindi tunao.

2. Huo mkataba haujazongatia ishu ya sustainability kwamba tutaendelea milele na mile kuwategemea wahindi kwa ajili ya maintenance ya systemna hivyo Wahindi watatugeuza cash cow forever as long as hiyo system ipo in place.

3. Hilo dili linapeleka ajira kwa wahindi wakati kuna vijana humu nchini na kampuni za IT zinazoweza kufanya hiyo kazi

Tunalitaka Bunge na serikali isitishe mkataba huo mara moja, kuna huarufu ta UPGAJI kwenye huo mkataba
 
Tshs 65 bilioni inatosha kununua ndege ngapi kama za ATCL ?
 
Wabunge wenyewe kwa asilimia kubwa wameingizwa kiwizi Bungeni,watamjadili Mwizi gani.
 
Mkataba wa magumashi
 
Samia asipokuwa makini ataingizwa mkenge na hao watoto wa mjini akina makamba, hawana uzalendo hata kidogo. Utawala wa huyu mama utakuwa wa kupigiwa kelele hata na wananchi wa chini kama ilivyokuwa kwa JK.Kuongoza nchi siyo mchezo akili za kuambiwa changanya na zako siyo kila kitu utoe kwa JK, ukishindwa tutakuona hufai wewe, huyo makamba wa nini?
 
Vipi aliyeweka katibu Mkuu wizara ya fedha mtoto wa dadake au umesahau..?
 

 
Samia amefanya kazi na Makamba anamjua vizuri pengine kuliko wewe na mimi
 
Wakat wa JPM uongoz wote wa tanesco ulifutwa kuanzia board, mkurugenz na management je uamuzi ulichungunzwa?
Magufuli alichunguzwa alivyojenga uwanja wa ndege Chato na tenda ya ujenzi kupewa Mayanga Construction, kampuni ya mtu waliyeoa nyumba moja!
 
Mliokuja dar 2015 mna shida sana
Ungekuwepo kariakoo ikiwa inajengwa mngesemaje ..?
Mtu alikuwa Magufuli tu katika hii nchi. Pamoja na mapungufu yake yote,lakini alikuwa na uchungu. Usingeweza kukuta vitu vya ajabu ajabu namna hiyo. Ghafla nchi imebadirika upigaji umekuwa live live sasa
 
Wanahangaika sana eti ndio wanataka kubadili upepo Rais awaangukie wanachekesha
Sukuma gang kazini nyie buku ngapi mnajua ? Jirani Cheng na zama nimepita......mngetulia tu Mpare heshima ndogo iliobakia hiyo vita ya keyboard hutaweza
 
Bunge gani la kujadili mambo nyeti kama hayo?
FYI jitombashisho na Suzy Elias. Mnaulizwa Bunge gani la kufanya kazi hiyo? Hii hii ya Ndugai. Mtasubiri sana. Achana na hako kamkataba ka Tanesco, babalao la Bandari ya Bagamoyo unakuja. Ndugai ndiye mshabiki namba moja Wa mkataba huo Wa Bagamoyo! Mamayee...Mtajuta kuwa na Bunge la chama kimoja.
 
Ngoja tuwape muda,wakati utaongea.
 
Vipi?
Wamemwaga mboga?
Tetesi zipo kuwa huu mradi ulikuwepo siku nyingi, tenda zilishatangazwa na wahindi ndio walioshinda.
Kama kuna harufu ya ufisadi ilianza lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…