Bunge lichunguze mkataba wa Tsh bilioni 65 ilioingia Tanesco na kampuni ya Wahindi kuna harufu ya wizi

Mliokuja dar 2015 mna shida sana
Ungekuwepo kariakoo ikiwa inajengwa mngesemaje ..?
Kwa hiyo kariakoo ulijenga wewe mwaka gani?. Bahati mbaya niko kijijini kabisa. Sina mpango wa kuhamia kariakoo. Kama uko dar kiongozi usijiite mwanaume
 
unazungumzia bunge lipi? kama ni hili la mazuzu wa kijan endelea na shughuli zako mkuu
 
Mkuu umetufungua macho, mleta hoja alitakiwa japo atupe sababu za kufikiria kuwa kuna harufu za rushwa.
Mimi nadhani angetulia akafanya fact findings ndio kujenga hoja komavu.
Acheni politics
 
Bunge si chochote kwasasa
 
Nchi huliwa na wenye meno, vibogoyo watapata tabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…