Bunge likutane haraka kuondoa ukomo wa mgombea Urais Tanzania

Bunge likutane haraka kuondoa ukomo wa mgombea Urais Tanzania

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
Ni wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.

Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike na Wapinzani wote.
 
UMESEMA KWELI KABISA, WENZETU CHINA NA URUSI WALITUTANGULIA NA SASA WANAPAA KIMAENDELEO. [emoji1241]
Umeona eei, hata haya ya chama au vyama naona ni mzigo kama inawezekana ukoo wa Magufuli tukausimika Ufalme wa Tanzania, zipo nchi za kifalme hazijui shida kitu gani, yaani mpaka raia wanafaidi bata wa Taifa.
 
Ni wakati muwafaka bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea uraisi,ile miaka kumi sasa isiwepo,kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono ,ila ikubalike na wapinzana wote.
Uzi wa kipuuzi! Unajua unaongea nini? JPM 2025 tunamuaga kwa heshima zote
 
Ni wakati muwafaka bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea uraisi,ile miaka kumi sasa isiwepo,kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono ,ila ikubalike na wapinzana wote.
toa upumbavu wako hapa
 
Kupanga Ni kuchagua unapanga na Mungu anapanga, unachagua Na Mungu anachagua
 
Back
Top Bottom