Umeona eei, hata haya ya chama au vyama naona ni mzigo kama inawezekana ukoo wa Magufuli tukausimika Ufalme wa Tanzania, zipo nchi za kifalme hazijui shida kitu gani, yaani mpaka raia wanafaidi bata wa Taifa.UMESEMA KWELI KABISA, WENZETU CHINA NA URUSI WALITUTANGULIA NA SASA WANAPAA KIMAENDELEO. [emoji1241]
Huwa ninacheka anapojisifu kukusanya Kodi za matrilioni na kusahau misingi iliwekwa na watangulizi wake Kama vile kuasisi TRA na kuanzisha mashine za EFD.Duuu pale mmoja anapojiona mtimirifu kuliko wengine.. ndio kwanza wa 5 unatuaminisha vipi mpaka kufika 10 hatutopata zaidi yake.?
Uzi wa kipuuzi! Unajua unaongea nini? JPM 2025 tunamuaga kwa heshima zoteNi wakati muwafaka bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea uraisi,ile miaka kumi sasa isiwepo,kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono ,ila ikubalike na wapinzana wote.
Mwenyewe alishasema hataongeza hata dakika, wewe unasema aongezewe.Umeona eei,hata haya ya chama au vyama naona ni mzigo kama inawezekana ukoo wa Magufuli tukausimika Ufalme wa Tanzania,zipo nchi za kifalme hazijui shida kitu gani ,yaani mpaka raia wanafaidi bata wa Taifa.
Mwenyewe alishakataaUzi wa kipuuzi! Unajua unaongea nini? JPM 2025 tunamuaga kwa heshima zote
toa upumbavu wako hapaNi wakati muwafaka bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea uraisi,ile miaka kumi sasa isiwepo,kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono ,ila ikubalike na wapinzana wote.