Bunge limeahirishwa ili wabunge wakajifunze kuvaa na table manners?

Bunge limeahirishwa ili wabunge wakajifunze kuvaa na table manners?

Kwa Akili ya kawaida kabisa ni kwamba Wengi hawana ujuzi wa hayo Masuala ya Kuvaa na Kula. Na pia baada ya hapo Fedha zitazotolewa zitatumika kwaajili ya Kuvaa na Kula ili kuonyesha kwamba Somo limeeleweka na ufaulu utaonekana kwa kila mmoja wao.

Mafundi wa Suti Mjiandae kwa Oda na kutajirika kwa kuwatoza Bei juu.

Huu ni UJINGA & UPUMBAVU kwa Pamoja ndani ya Bunge tukufu.

Bungeni zinahitajika Hoja zenye Mashiko na Utetezi wa Rasilimali za Nchi na Haki za Raia/Wananchi pamoja na utungwaji wa sheria na mambo mengine. Masuala ya Kuvaa na Kula ni Ushenzi tu.

Another way it's Money Laundering.
 
Badala ya kujadili ishu sensitive kama LNG project iliyosainiwa na itakayokuwa na impact kubwa ndani ya nchi yetu wanajadili ishu ambazo hata nje ya bunge vinaweza kufanyiwa kimyakimya
 
Huu ujinga ndio ulimfanya yule Msukuma akaitwa kila aina ya majina.
sI ujinga,wanafundishwa uvaaji na ulaji wa kimagharibi,kwani wewe unauweza ulaji wa kijapani,kichina au hata wa kihindi,unaanza na pilipli,subu,supu,mtori au unamalizia na pombe,kahawa au chai ,kwetu tunaanza maugali na tunamalizia na ugali
 
Sasa hizo ishu zina tija gani bungeni au ni kutafta ela za kula kwenye hicho kinachoitwa mafunzo?
 
Back
Top Bottom