Bunge limeahirishwa ili wabunge wakajifunze kuvaa na table manners?

Bunge limeahirishwa ili wabunge wakajifunze kuvaa na table manners?

Wivu tuu unawasumbua kwahiyo spika unaona tunafaidi sana kuangalia mizigo ya waheshimiwa au
 
Kwahiyo hilo ni bunge la watoto waliomalliza kunyonya na kuvaa nepi sasa wanakwenda hatua nyingine ya makuzi
 
Ni jambo la kawaida, huwezi vaa oversized suit au shati limefika hadi vidoleni...
Mfalme Mswati ulishaona anavyovaa kama.kimasai mbona anaheshimika kila kona.Wanachofundishwa wabunge ni uvaaji wa kizungu na table manners za kizungu !!!! Ili wakae kizungu zungu.Mzungu alishaondoka Tanzania toka 1961 tulipopata uhuru lakini aliondoka tu kimwili kichwani akabaki ikiwemo kwenye vichwa vya wabunge hao wanaofunzwa kuvaa kizungu,kula kizungu nk
Na wewe naona uzungu umekukolea barabara mu kichwa chako .Hata kukojoa utakuwa unakohoa kizungu
 
Back
Top Bottom