Bunge limeahirishwa ili wabunge wakajifunze kuvaa na table manners?

Bunge limeahirishwa ili wabunge wakajifunze kuvaa na table manners?

Haya wabunge wanatayarishwa kwa ajili ya Table manners ili angalau waweze kuunganishwa katika ziara za nje baada ya nchi kufunguka
Kama alivyolalamika mbona wanakula sana, wanavimbiwa😀😀😀 naona kaamua kumpa kazi dada Tulia ackson ili aweze kuwaelimisha std 7 namna ya kula bila kuvimbiwa. Walambe asali kistaarabu😀😀😀
 
Kama alivyolalamika mbona wanakula sana, wanavimbiwa[emoji3][emoji3][emoji3] naona kaamua kumpa kazi dada Tulia ackson ili aweze kuwaelimisha std 7 namna ya kula bila kuvimbiwa. Walambe asali kistaarabu[emoji3][emoji3][emoji3]
Nilishasema huku ndani. Aina ya wabunge wanaochaguliwa ndio wana reflect aina ya wananchi waliopo maeneo husika

Until siku wananchi watakapokuwa serious ndio bunge litakuwa serious.. otherwise huu ujinga utaendelea vizazi na vizaz
 
Hizo ni taratibu za mabunge yote duniani. Ni kama vile sehemu ya "induction" and people need not to feel that were offended. Ni taratibu za kawaida, kama umefanya kazi serikalini na unaenda kwenye mikutano mngeelewa.
Ni jambo la kawaida, huwezi vaa oversized suit au shati limefika hadi vidoleni...au unakula hadi mate yanakutoka au unatema tema mate ovyo au unainuka kuchukua maji mezani badala ya kuomba kupitishiwa. Ni utaratibu tu, siyo jambo jipya.
 
Etiquette
Nikichojifunza kwenye maisha yangu hakuna kitu kibaya kama umaskini uwe mbunge, jaji au kiongozi wa Serikali au mtu binafsi.

Bilionea Billy Gates alienda kuonana na Raisi akiwa kavaa nguo kama za mitumba na kiatu ambacho hakijapigwa kiwi na alipokelewa kwa heshima zote na hakuna chombo cha habari kilikosoa uvaaji wake.

Bakhresa mfano akienda hata kutembelea bunge aweza kwenda na kanzu na.chini kavaa ndala za mia tano au yeboyebo za plastic na akapokelewa kwa heshima zote kuliko mbunge,au jaji au kiongozi mkubwa wa Serikali aliyevaa suti ya ufaransa na aweza kula kwa mikono bila umma wala protocol ya table manners na hakuna wa kusema fyoko iwe media au huyo mwalimu wa kufundisha table manners.

Wabunge nao malofa tu
 
Bunge la "ushindi wa kishindo"

Wafanye wafanyayo, hatuna muda wa kuwafuatilia. Huo ndiyo uzuri wa bunge la CCM 100%
 
Back
Top Bottom