Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!...Viongozi wa ccm hiv wamesoma shule gani mbona kama vichwa vyao vimetoboka??
Bunge lenu leo limejadili muswada wa sheria ambao unampa ruhusa askari polisi kufanya tendo lolote la jinai wakati wa kutafuta ushahidi anaotafuta katika operations (wameziita undercover operations) na hakuna kushtakiwa popote. Anaweza kubaka, kujeruhi na hata kuua.
Simbachawene mgogo Kama yule wa mikopoWanatengeneza nyezo kwajili ya uchaguzi ujao Mana hawana namna ......ukiuawa ukibakwa alikua kwenye operation aliyekuua ,jamani huyu mnyalu Simba chawene na nimwanasheria sijui daaaaaa
mgogo muhehe wa kibakweSimbachawene mgogo Kama yule wa mikopo
Naongezea misumariNakazia Mungu Fundi Hashindwi Atatenda
Ni ushindi kwa IGP hahahaBunge lenu leo limejadili muswada wa sheria ambao unampa ruhusa askari polisi kufanya tendo lolote la jinai wakati wa kutafuta ushahidi anaotafuta katika operations (wameziita undercover operations) na hakuna kushtakiwa popote. Anaweza kubaka, kujeruhi na hata kuua.