Kyachakiche
JF-Expert Member
- Feb 16, 2009
- 986
- 208
Pamoja na tambo za Wabunge na kelele nyingi kwamba wataondoa shilingi kwenye bajeti ya Serikali, hatimaye wamepitisha kiulaini. Soure: Radio One.
Pamoja na tambo za Wabunge na kelele nyingi kwamba wataondoa shilingi kwenye bajeti ya Serikali, hatimaye wamepitisha kiulaini. Soure: Radio One.
Bunge letu ni "rubber-stamp", ni watu walewale (wenye uchu wa madaraka na tamaa ya mali) na kwahiyo kupitisha bajeti ni "by default"! Hata kama Mh Mkullo angesimama bungeni kabla ya kutoa hotuba yake na kuuliza "wangapi wameafiki", wabunge wote wangenyoosha mikono na kupitisha bajeti "blindly"...
IPO SIKU!!!
"Tumeona bajeti ya safari za nje ni Sh34 bilioni na leo nimepitia bajeti hii naona kuna Sh19 bilioni ambazo zimetengwa kwa ajili ya bajeti ya chai kwa wizara mbalimbali,..." -Mh Salim Yussuf Moh'd (CUF)
To me this aint NO BREAKING NEWS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
......it aint surprising......wengi wao ni "brain dead"......it was to be expected