Bunge limepitisha bajeti 2009/10

Bunge limepitisha bajeti 2009/10

Kyachakiche

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2009
Posts
986
Reaction score
208
Pamoja na tambo za Wabunge na kelele nyingi kwamba wataondoa shilingi kwenye bajeti ya Serikali, hatimaye wamepitisha kiulaini. Soure: Radio One.
 
Wanacheza mchezo wa kuigiza, mwenye ufahamu alilifahamu hilo.
 
Pamoja na tambo za Wabunge na kelele nyingi kwamba wataondoa shilingi kwenye bajeti ya Serikali, hatimaye wamepitisha kiulaini. Soure: Radio One.

Huwa wanasomewa kifungu 198 (ii) sababu zinazoweza mfanya rais avunje bunge kabla ya kupiga kura ya kupitisha bajeti.

Hapo unategemea matokeo yawaje?
 
Pamoja na tambo za Wabunge na kelele nyingi kwamba wataondoa shilingi kwenye bajeti ya Serikali, hatimaye wamepitisha kiulaini. Soure: Radio One.

Mkuu kwa jinsi unavyowajua wabunge wetu, ulitegemea wasingepitisha kweli?
 
Bunge letu ni "rubber-stamp", ni watu walewale (wenye uchu wa madaraka na tamaa ya mali) na kwahiyo kupitisha bajeti ni "by default"! Hata kama Mh Mkullo angesimama bungeni kabla ya kutoa hotuba yake na kuuliza "wangapi wameafiki", wabunge wote wangenyoosha mikono na kupitisha bajeti "blindly"...

IPO SIKU!!!
 
Nani akatae hoo natoa shilingi janja ya kura 2010, unafanya mchezo na chama tawala wadanganyika tuendelee kudanganyika tu
 
Kuna sababu tosha za kuwafanya wabunge wasikubali kuvunjika kwa bunge. Lakini sababu kuu na namba moja ni ulaji wao utaisha!
 
Bunge letu ni "rubber-stamp", ni watu walewale (wenye uchu wa madaraka na tamaa ya mali) na kwahiyo kupitisha bajeti ni "by default"! Hata kama Mh Mkullo angesimama bungeni kabla ya kutoa hotuba yake na kuuliza "wangapi wameafiki", wabunge wote wangenyoosha mikono na kupitisha bajeti "blindly"...

IPO SIKU!!!

Asante muheshimiwa.Nimekupata vizuri kabisa
 
Wabunge wenyewe waoga wa uchaguzi, then unataka wagomee bajeti ili iweje mkuu
 
......it aint surprising......wengi wao ni "brain dead"......it was to be expected
 
...kwahiyo hata hivi "vijisenti" vya chai pia vimepitishwa? 😱

"Tumeona bajeti ya safari za nje ni Sh34 bilioni na leo nimepitia bajeti hii naona kuna Sh19 bilioni ambazo zimetengwa kwa ajili ya bajeti ya chai kwa wizara mbalimbali,..." -Mh Salim Yussuf Moh'd (CUF)
 
To me this aint NO BREAKING NEWS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
It was expected. Lini ulisikia bunge la Tz limeota meno? It is a toothless dog, it cannot bite!
 
Wasipitishe wakose ulaji wao na bado zile za kiinua mgongo sijui milioni 70 za mwakani wewe acha chezea wabunge wanao jali matumbo yao zaidi mbona hawajapiga kelele na wao wakatwe kodi kwenye posho na mishahara yao kama kweli wana machungu na Taifa.
 
Sasa what did you expect from our MPs?.....ebu tukumbushane ndugu zangu ni mwaka gani wabunge walishakataa kupitisha bajeti hapa Tz?

Kama walivyosema wengi, bunge letu ni just rubber stamp ya serikali.....they don't heartlfully analyise ctrically and question what is in there......partly because they benefit in one way or another na maamuzi ya aiana hiyo!
 
Siamini mambo yanayotokea bungeni,kwamba wabunge karibu wote wameiponda bajeti kuwa siyo ya kumkomboa mwananchi lakini bado wanaipitisha kwa 100%,ni jabu sana na naionea aibu Tanzania kama sio nchi yangu.Wana2peleka wapi hawa wenye mishahara minono na marupurupu lukuki?
......it aint surprising......wengi wao ni "brain dead"......it was to be expected
 
Tanzania hakuna wabunge ila wapo wapenda kula ndio maana wapo radhi hata kuharibiana maisha ili wapate mikate yao,maskini watanzania mmerogwa au?
 
hawa ni wabunge wa bunge la tz ni vichaa kabisa mtu anasimama anapinga kila kitu halafu akiwa anafunga unasikia mheshimiwa spika naunga mkono hoja asilimia mia moja. Unabaki ukishangaa ni kwamba hawaelewi asilimia mia moja ni nini au wanafikiri watanzania hawajui asilimia mia ni nini
 
Back
Top Bottom