kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #21
Think globally and act locally, Hapa kwetu mfikirie yule mwanafamilia wa mabokweni, nanjilinji, wangeng"ombe, lukozi, kwamsangazi wenye familia ya wake 2 na watoto 13 wanaotegemea kupata mvua ndio wapande na kuvuna ambao wamezunguukwa na mazalia ya mbu, kipindupindu, funza, upele, minyoo, nyoka, kichocho, TB, magonjwa ya ngono. Wahenga waliposema makaburi mengi ni ya watu maskini unadhani walimaanisha nini? Kwani viwango vya umaskini wetu vikoje?Tanzania sio ya kwanza kuwa na bima Kwa wote hapa Afrika na kote huko hakuna misururu ya watu.
Mimi Nina bima ila Kwa mwaka huu nimeenda hospital haizidi mara 3 au 2 tuu Sasa sijui unadhani kwenda hospital ni sifa au ikoje.
Huwezi kumuwekea bima mtu mwenye uwezekano mkubwa wa kuugua kila wakati, kwenye risks nyingi, ni maokoto TU.