johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kinga yashinda tibaMkuu Yohana!
Wanaovaa barakoa wanakufa!!
Mkuu John Wasiovaa barakoa Wanakufa!!!
Johnthebaptist Binadamu huwa wanakufa!!!!
Namaanisha acha tufe waje wengine!!!!!!
Huko watu wanakufa sana sema hawatangazwi sababu siyo public figureKwani kuna mtu kawazuia kujikinga kama kuna tishio la kuhitaji kujikinga ndg! Mbona mnaongea saaaana😜! Hebu njoo huku kwenye usafiri wa mabasi na 55 uone tunavyosafiri kwa social proximity mpaka raha na maisha yanaendelea kwa aman kabisa! Nyie waoga ndio mtakufa kwa uoga wenu! Sisi watz bado tunayaenzi maono ya JPM ya kumtanguliza aliye Mkuu kuliko covid-19 yenyewe.. Mungu Muumbaji anaeendelea kutulinda🙏 na kuilinda nchi yetu Tanzania!
Wabunge zaidi ya 50% akiwemo Ndugai wamo mule bungeni kwa kubebwa hivyo akili zao nazo zimebebwa (zimeshikiliwa) na mtu ambaye hata duniani hayupo tangu mwezi March.Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.
Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?
Spika pale mbele anakaa peke yake ( social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na kupumuliana.
Uhai ni jambo binafsi mjue, shauri yenu.
Kazi Iendelee!
Mwendazake alimwambia anamshangaa kuona yupo pekeyake lakini anavaa barakoaSpika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na kupumuliana.
They are semi-gods miungu hawaguswiSidhani kama kuvaa Barakoa tu unaweza kujikinga, tunaishi kwa neema tu na kifo kipo kwaajili yetu pia, siyo lazima kila anayekufa iwe kovidiiii.
Ila kila mtu kwa nafasi yake popote alipo chukua tahadhari, na Wabunge si watoto kama chekechea waelekezwe kila jambo
Kwani kuna mtu kawazuia kujikinga kama kuna tishio la kuhitaji kujikinga ndg! Mbona mnaongea saaaana😜! Hebu njoo huku kwenye usafiri wa mabasi na 55 uone tunavyosafiri kwa social proximity mpaka raha na maisha yanaendelea kwa aman kabisa! Nyie waoga ndio mtakufa kwa uoga wenu! Sisi watz bado tunayaenzi maono ya JPM ya kumtanguliza aliye Mkuu kuliko covid-19 yenyewe.. Mungu Muumbaji anaeendelea kutulinda🙏 na kuilinda nchi yetu Tanzania!Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.
Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?
Spika pale mbele anakaa peke yake ( social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na kupumuliana.
Uhai ni jambo binafsi mjue, shauri yenu.
Kazi Iendelee!
Wanakufa sana? Umepoteza ndugu zako wangapi wiki 2 zilizopita? Au ww mbona hujafa kama tatizo ni kubwa kiasi hicho!? By the way, balakora si kitu sana ktk kujikinga na maambukizi kama yako kwa kiasi hicho!Huko watu wanakufa sana sema hawatangazwi sababu siyo public figure
We binadamu wewe kha! 🤣Mi natamani imlambe Ndugai mwenyewe
Bunge lenyewe bado halijakubaliana kwa kauli moja kwamba CORONA IPO na inaua... yaonekana Bunge bado linatembea na nyota ya mwendazake ambaye hadi anaondoka alikuwa bado haamini kwamba Corona ipo Tanzania na inaweza kumfuta duniani mwanadamu yoyote yule.Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.
Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?
Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na kupumuliana.
Uhai ni jambo binafsi mjue, shauri yenu.
Kazi Iendelee!
Kwahiyo hawaiamini hata kamati ya Corona?Bunge lenyewe bado halijakubaliana kwa kauli moja kwamba CORONA IPO na inaua... yaonekana Bunge bado linatembea na nyota ya mwendazake ambaye hadi anaondoka alikuwa bado haamini kwamba Corona ipo Tanzania na inaweza kumfuta duniani mwanadamu yoyote yule.