Bunge limepoteza Wabunge wengi lakini bado hawajali kwa kuvaa barakoa

Hivi kwanini sie kila siku tunazungumzia na kuhofia corona kutoka kwa nchi za wenzetu tu? Kwanini sisi hivi tulivyojiachia ndio tusingekuwa zaidi ya huko India?
Corona imemng'oa namba moja tutaacha kuiogopa?
 
Tahadhari ni muhimu ili usiambukize wengine!

Appropriate use of face masks is important. The face mask should completely cover the face from the bridge of the nose down to the chin. Clean hands with soap and water or alcohol-based hand sanitiser before putting on and taking off the face mask. When taking off the face mask, remove it from behind, avoiding to touch the front side. Dispose the face mask safely if it is disposable. Wash your hands or apply alcohol-based hand sanitiser immediately after removing the face mask. Washable, reusable face should be washed as soon as possible after each use, using common detergent at 60 °C. Campaigns for the appropriate use of face masks may improve the effectiveness of the measure.

Unadhani hayo yanazingatiwa katika matumizi yetu ya kuvaa barakoa?
 
Hivi kwanini sie kila siku tunazungumzia na kuhofia corona kutoka kwa nchi za wenzetu tu? Kwanini sisi hivi tulivyojiachia ndio tusingekuwa zaidi ya huko India?
Umejua vipi kuwa hali yetu siyo mbaya zaidi ya India?Vyombo vyetu vya habari vilikatazwa kuripoti mambo ya corona,sasa unatumia mbinu gani kujua kuwa hali yetu siyo mbaya?
 
Appropriate use of face masks is important. The face mask should completely cover the face from the bridge of the nose down to the chin. Clean hands with soap and water or alcohol-based hand sanitiser before putting on and taking off the face mask. When taking off the face mask, remove it from behind, avoiding to touch the front side. Dispose the face mask safely if it is disposable. Wash your hands or apply alcohol-based hand sanitiser immediately after removing the face mask. Washable, reusable face should be washed as soon as possible after each use, using common detergent at 60 °C. Campaigns for the appropriate use of face masks may improve the effectiveness of the measure.

Unadhani hayo yanazingatiwa katika matumizi yetu ya kuvaa barakoa?
Elimu ndio muhimu!
 
Corona imemng'oa namba moja tutaacha kuiogopa?
Wapi wametangaza hivyo au ni dalili zipi zenye kukufanya useme hivyo? Mi najua Maalim seif alijitangaza kuwa ana corona na hakupona akafariki huyo ndio najua kwa kujitangaza mwenyewe sasa huyo namba moja amekufa vp na corona hebu niambie wewe umejuaje?
 
Elimu ndio muhimu!
Sasa kama watu hawana elimu ya matumizi sahihi ya kuvaa barakoa unadhani kuvaa kwao barakoa itakuwa ni kinga au ni hatari kwao?

Ndio maana nasema barakoa si kama hirizi ya kukukinga na uchawi ukivaa tu
 
Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.

Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?

Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na kupumuliana.

Uhai ni jambo binafsi mjue, shauri yenu.

Kazi Iendelee!
Nani aliyekuhakikishia kwamba ukivaa barakoa hutapata corona? Jee India au Brazil hawavai barakoa au hata Kenya barakoa zinavaliwa hadi kitandani wakati wa kulala lakini mwisho wanapuputika. Mwamini Mungu ndiye mweza wa yote sio barakoa wala kamati
 
Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.

Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?

Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na kupumuliana.

Uhai ni jambo binafsi mjue, shauri yenu.

Kazi Iendelee!
Hahahahahah kweli mnafiji hafai

Leo wewe wa kusema hayo !!!!???

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom