Bunge limepoteza Wabunge wengi lakini bado hawajali kwa kuvaa barakoa

Bunge limepoteza Wabunge wengi lakini bado hawajali kwa kuvaa barakoa

Ili uugue ugonjwa lazima yafuatayo yawepo

Lazima mdudu sahihi

Aingilie sehemu sahihi

Awe na uwezo wa kusababisha ugonjwa

Wawe wadudu wakutosha kuweza sababisha ugonjwa

Wawe na nguvu ya kuizidi kinga ya mwili

Ndiyo unaweza ugua

Take it hakuna ugonjwa kirusi unaotibika
Ni kinga ya mwili tu inayoua virusi
 
Wapi wametangaza hivyo au ni dalili zipi zenye kukufanya useme hivyo? Mi najua Maalim seif alijitangaza kuwa ana corona na hakupona akafariki huyo ndio najua kwa kujitangaza mwenyewe sasa huyo namba moja amekufa vp na corona hebu niambie wewe umejuaje?
Mbona povu jingi?Kama kusoma hujui hata picha huioni?
 
Hii imetokea yayari.....Ee mwenyezi Mungu tunaomba huruma yako
IMG-20210520-WA0056.jpg
 
Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.

Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?

Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na kupumuliana.

Uhai ni jambo binafsi mjue, shauri yenu.

Kazi Iendelee!
Umetumwa???
 
Kwani kuna mtu kawazuia kujikinga kama kuna tishio la kuhitaji kujikinga ndg! Mbona mnaongea saaaana[emoji12]! Hebu njoo huku kwenye usafiri wa mabasi na 55 uone tunavyosafiri kwa social proximity mpaka raha na maisha yanaendelea kwa aman kabisa!

Nyie waoga ndio mtakufa kwa uoga wenu! Sisi watz bado tunayaenzi maono ya JPM ya kumtanguliza aliye Mkuu kuliko covid-19 yenyewe.. Mungu Muumbaji anaeendelea kutulinda[emoji120] na kuilinda nchi yetu Tanzania!
JPM alikufa kwa Corona, yeye na Nkurunzinza, na ndio marais pekee waliopuuza Corona
 
Dhalim kafa kwa Corona kama unabisha kufukue ukapime .
Wewe ndio unasema na kutaka kuwaaminisha watu, mie sina sababu ya kufukua kaburi wewe ndio unatakiwa ututhibitishie kuwa ni kweli kafa na corona kama Maalim seifu.
 
JPM alikufa kwa Corona, yeye na Nkurunzinza, na ndio marais pekee waliopuuza Corona
Ujue mnafurahisha yani mnalazimisha Magufuli kuwa kafa kwa corona na ushahidi wenu et kwa sababu alidharau corona, kafa makamu wa kwanza wa rais Maalim seifu na hakuidharau ila hamumtaji.
 
Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.

Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?

Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na kupumuliana.

Uhai ni jambo binafsi mjue, shauri yenu.

Kazi Iendelee!
Bado wanaishi kwenye kivuli cha meko
 
Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.

Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?

Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na kupumuliana.

Uhai ni jambo binafsi mjue, shauri yenu.

Kazi Iendelee!
Hayo wanatakiwa kufa wote humo,hatukuchagua wabunge hao...wameingia kwa hisani ya meko n mahera
 
Back
Top Bottom