Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sawa mkuuSi umeshaambiwa kinga NI maombi, malimao na tangawizi.unataka kinga IPI TENA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuSi umeshaambiwa kinga NI maombi, malimao na tangawizi.unataka kinga IPI TENA?
Pamoja mkuuIngependeza zaidi
Mbona povu jingi?Kama kusoma hujui hata picha huioni?Wapi wametangaza hivyo au ni dalili zipi zenye kukufanya useme hivyo? Mi najua Maalim seif alijitangaza kuwa ana corona na hakupona akafariki huyo ndio najua kwa kujitangaza mwenyewe sasa huyo namba moja amekufa vp na corona hebu niambie wewe umejuaje?
Ndio mnioneshe basi hiyo picha nami niione, maana mimi sioni dalili yeyote yenye kuonesha kuwa kifo cha Jiwe kilikuwa cha corona.Mbona povu jingi?Kama kusoma hujui hata picha huioni?
Mkuu kafa mbunge mmoja unaomba huruma kwa Mungu unajua kwa siku Mungu anachukua roho za watu wangapi? au ndio kwamba kafa kwa corona?Hii imetokea yayari.....Ee mwenyezi Mungu tunaomba huruma yakoView attachment 1791557
Siyo Mzee Mdee tena?Kwa J J Mnyika na Salum Mwalimu!
Umetumwa???Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.
Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?
Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na kupumuliana.
Uhai ni jambo binafsi mjue, shauri yenu.
Kazi Iendelee!
Basi kausha.Ndio mnioneshe basi hiyo picha nami niione, maana mimi sioni dalili yeyote yenye kuonesha kuwa kifo cha Jiwe kilikuwa cha corona.
Poa ila acheni kuzusha, maalim seif ndio kafa kwa corona hiyo haina utata hao wengine inakuwa ni uzushi.Basi kausha.
Dhalim kafa kwa Corona kama unabisha kufukue ukapime .Poa ila acheni kuzusha, maalim seif ndio kafa kwa corona hiyo haina utata hao wengine inakuwa ni uzushi.
SijuiHata babu Tale hana faida?
JPM alikufa kwa Corona, yeye na Nkurunzinza, na ndio marais pekee waliopuuza CoronaKwani kuna mtu kawazuia kujikinga kama kuna tishio la kuhitaji kujikinga ndg! Mbona mnaongea saaaana[emoji12]! Hebu njoo huku kwenye usafiri wa mabasi na 55 uone tunavyosafiri kwa social proximity mpaka raha na maisha yanaendelea kwa aman kabisa!
Nyie waoga ndio mtakufa kwa uoga wenu! Sisi watz bado tunayaenzi maono ya JPM ya kumtanguliza aliye Mkuu kuliko covid-19 yenyewe.. Mungu Muumbaji anaeendelea kutulinda[emoji120] na kuilinda nchi yetu Tanzania!
Wewe ndio unasema na kutaka kuwaaminisha watu, mie sina sababu ya kufukua kaburi wewe ndio unatakiwa ututhibitishie kuwa ni kweli kafa na corona kama Maalim seifu.Dhalim kafa kwa Corona kama unabisha kufukue ukapime .
Ujue mnafurahisha yani mnalazimisha Magufuli kuwa kafa kwa corona na ushahidi wenu et kwa sababu alidharau corona, kafa makamu wa kwanza wa rais Maalim seifu na hakuidharau ila hamumtaji.JPM alikufa kwa Corona, yeye na Nkurunzinza, na ndio marais pekee waliopuuza Corona
Bado wanaishi kwenye kivuli cha mekoNdani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.
Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?
Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na kupumuliana.
Uhai ni jambo binafsi mjue, shauri yenu.
Kazi Iendelee!
Hayo wanatakiwa kufa wote humo,hatukuchagua wabunge hao...wameingia kwa hisani ya meko n maheraNdani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.
Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?
Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na kupumuliana.
Uhai ni jambo binafsi mjue, shauri yenu.
Kazi Iendelee!
Aisee.Wasichokijua ni kwamba ile Corona hatari ya India ina jambo lake na Tanzania hivi karibuni.
Corona imekuwa ni baraka kwa Tanzania, imemuondoa nduliCorona imemng'oa namba moja tutaacha kuiogopa?