johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #81
Kinga ni bora bwashee.Aisee.
Mama kashtuka kila muda na 95
Kifo hakina Mwamba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinga ni bora bwashee.Aisee.
Mama kashtuka kila muda na 95
Meko mlimtoa kafaraKinga ni bora bwashee.
Kifo hakina Mwamba!
Endeleeni kuyaenzi mtafuata aliko Ili mkamuenzi vizuriKwani kuna mtu kawazuia kujikinga kama kuna tishio la kuhitaji kujikinga ndg! Mbona mnaongea saaaana[emoji12]! Hebu njoo huku kwenye usafiri wa mabasi na 55 uone tunavyosafiri kwa social proximity mpaka raha na maisha yanaendelea kwa aman kabisa.
Nyie waoga ndio mtakufa kwa uoga wenu! Sisi watz bado tunayaenzi maono ya JPM ya kumtanguliza aliye Mkuu kuliko covid-19 yenyewe.. Mungu Muumbaji anaeendelea kutulinda[emoji120] na kuilinda nchi yetu Tanzania.
Anakomaa sana kuvaa 95 na wala hana time kabisa na kushauri wananchi wavae barakoa!😄😄😄Aisee.
Mama kashtuka kila muda na 95
Mwenyekiti wa Ufipa ilimkosakosa akawahi Astra!Meko mlimtoa kafara
Hahaha anacheza na muda.Anakomaa sana kuvaa 95 na wala hana time kabisa na kushauri wananchi wavae barakoa!😄😄😄
Hahaa, unaamini sana propaganda za jiweUjue mnafurahisha yani mnalazimisha Magufuli kuwa kafa kwa corona na ushahidi wenu et kwa sababu alidharau corona, kafa makamu wa kwanza wa rais Maalim seifu na hakuidharau ila hamumtaji.
Hii mijitu iliyolishwa sumu na Meko kuwa barakoa ndio zinaeneza Corona hata ukiishauri utaishia kutukanwa tuAnakomaa sana kuvaa 95 na wala hana time kabisa na kushauri wananchi wavae barakoa![emoji1][emoji1][emoji1]
Ndiyo kafa kwa Corona sasa, na huu ndiyo ukweli wenyewe.Wewe ndio unasema na kutaka kuwaaminisha watu, mie sina sababu ya kufukua kaburi wewe ndio unatakiwa ututhibitishie kuwa ni kweli kafa na corona kama Maalim seifu.
Yaani tumepata ukombozi bila hata tone moja la damu kumwagika,Mungu fundi kweli kweli.Corona imekuwa ni baraka kwa Tanzania, imemuondoa nduli
Gwajima ndiye alimpotosha. Chidi siyo mtu mzuri hata kidogoMeko mlimtoa kafara
Inaweza kuwa ni ukweli kwako ila kwa wengine bila ushahidi tutasemaje unachosema ni kweli? mimi nachojua ni kweli ni Maalim seif ndio kafa kwa corona hilo halina shaka ila huyo Magufuli mbona mnalazimisha? lete ushahidi.Ndiyo kafa kwa Corona sasa, na huu ndiyo ukweli wenyewe.
Ila huyo fundi mungu wako kashindwa kuitengeneza ccm, anakwama wapi?Yaani tumepata ukombozi bila hata tone moja la damu kumwagika,Mungu fundi kweli kweli.
Wanadai kuwa wanakufa ila haitangazwi.Mbona Makondakta wa daladala za mbagala, gongo la mboto na Tegeta kariakoo wanabanana na abiria Alfajir hadi Usiku lakin Wapo tu na karanga wanatupia bila ya kunawa na wanadunda tu
There are three important caveats related to the use of face masks in the community:Hii mijitu iliyolishwa sumu na Meko kuwa barakoa ndio zinaeneza Corona hata ukiishauri utaishia kutukanwa tu
Ni uvivu wako tu wa kufikiri ndio ambao unakufanya usijusumbue kufikiri na kuishia kumuhusisha Jiwe kila jambo, kabla hata ya jiwe kuanza kuwa na mitazamo yake kuhusu corona mie nilishaonaga ni propaganda kitambo tu kwenye corona. Mmeunda kamati haijatuambia tumeathirika kiasi gani na propaganda za Jiwe ila imekimbilia kushauri chanjo.Hahaa, unaamini sana propaganda za jiwe