Bunge linafungwa, ni Bunge la CCM, ni Bunge la kibabe

Bunge linafungwa, ni Bunge la CCM, ni Bunge la kibabe

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
7,225
Reaction score
9,830
Mama leo hii na muda huu anafunga Bunge lake. Ni Bunge la Chama kimoja ni Bunge la kibabe na Bunge lisilotambua Vyama vingi!!

Ndo maana hata Spika wakti anatambulisha wageni sijasikia Kiongozi wa Kambi ya Upinzani kutajwa. Hakuna Covid-19, hakuna CHADEMA, hakuna ACT Wazalendo hakuna chochote kuhusu Upinzani.
Tafakari.
 
SSH amelitaka jeshi la polisi kushughulikia watu kupotea ,swali langu kwani jeshi letu linalalamikiwa kupotea au UTEKAJI?
 
Yaani ni hatari na nusu. Mama kaamua kama mbwai na iwe mbwai
Itamgharimu muda si mrefu. Vox Populi, Vox De!!. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu.
Asifikiri hv vilio vya Watz wanaopotezewa na kuuliwa kwa ndugu zao wana amani. Kama hajui kufa akaangalie kaburi la Mwendazake!
 
Back
Top Bottom