Bunge linafungwa, ni Bunge la CCM, ni Bunge la kibabe

Nyerere na Magufuli ni watu wa hovyo sana kupata kutokea ndio maana HIV na.COVID ziliwaondoa.
Nyerere alipigania uhuru na akaihangaikia Tanzania wakati huo wewe hujulikani lini utazaliwa.

JPM ni shujaa mwenye uthubutu mkubwa asingemtangulia Samia asingeweza kufanya mengi aliyoyafanya katika awamu yake.
 
Hata Mjomba Nkapa it was Covid-19. Nasikia mzee wa Msoga ni victim wa HIV....yaani Mungu anawashughulikia kwa wakti. It's just a matter of time!
 
Nyerere alipigania uhuru na akaihangaikia Tanzania wakati huo wewe hujulikani lini utazaliwa.

JPM ni shujaa mwenye uthubutu mkubwa asingemtangulia Samia asingeweza kufanya mengi aliyoyafanya katika awamu yake.
Si watanzania wote bila kujali vyama vyao walishakubaliana na ukweli kwamba samia hajafanya lolote jipya zaidi ya kuzindua miradi iliyobuniwa, kuanzishwa, na kugharimiwa na Magufuli? Wakati azimio linatolewa wewe ulikuwa pori gani?
 
That's a blutant big lie. Nyerere kapigania uhuru halafu akatuachia mfumo kandamizi wa Chama 1. Linganisha Tanzania na Kenya uone tofauti. Tz uhuru 1961, Kenya uhuru 1963 lakini Uchumi wetu na Ķenya ni mbingu na ardhi! Kenya's economy is the best in Central n' East Africa.

JPM sijui unamsifia kwa lipi hasa!!!Je, mi kuua upinzani, kuingiza Covid-19 Bungeni kinyemela au kutaka kumuua Tundu Lissu?Kudhulumu mali za watu kwa kuwanyanganya kimabavu? Tell us pse!
 
Mama leo hii na muda huu anafunga Bunge lake. Ni Bunge la Chama kimoja ni Bunge la kibabe na Bunge lisilotambua Vyama vingi!!

Ndo maana hata Spika wakti anatambulisha wageni sijasikia Kiongozi wa Kambi ya Upinzani kutajwa. Hakuna Covid-19, hakuna CHADEMA, hakuna ACT Wazalendo hakuna chochote kuhusu Upinzani.
Tafakari.
Tena ubabe wa style ya akina Luca Muushaamba
 
Leo Kwa mara ya Kwanza katika historia ya Tanzania viongozi wa kanisa katoliki hawajaalikwa bungeni......Hii ni zaidi ya hatari Kwa siasa zetu
Labda walialikwa ila hawakutokea, ila kubwa ni uwakilishi wa Viongozi wa Kikristu walikuwepo likewise kwa Viongozi wa Waislam waliwakilishwa na Mufti.
 
That's a blutant big lie. Nyerere kapigania uhuru halafu akatuachia mfumo kandamizi wa Chama 1. Linganisha Tanzania na Kenya uone tofauti. Tz uhuru 1961, Kenya uhuru 1963 lakini Uchumi wetu na Ķenya ni mbingu na ardhi! Kenya's economy is the best in Central n' East Africa.

JPM sijui unamsifia kwa lipi hasa!!!Je, mi kuua upinzani, kuingiza Covid-19 Bungeni kinyemela au kutaka kumuua Tundu Lissu?Kudhulumu mali za watu kwa kuwanyanganya kimabavu? Tell us pse!
Akili za kipinzani haisadii chochote kuongea na wewe. Kenya wanavunja maduka na ATM za Nairobi kwa kigezo cha demokrasia, Tanzania huwezi kuona ujinga huo ukitokea.
 
Si watanzania wote bila kujali vyama vyao walishakubaliana na ukweli kwamba samia hajafanya lolote jipya zaidi ya kuzindua miradi iliyobuniwa, kuanzishwa, na kugharimiwa na Magufuli? Wakati azimio linatolewa wewe ulikuwa pori gani?
Nilikuwa pori ulizaliwa na kukulia wewe mpaka ukapata hizi akili za kipuuzi.

Samia anaweza kuwa rais mwenye mafanikio kuliko wote waliomtangulia, ni msikivu mwenye akili ya kibiashara.

Entrepreneurial mindset yake ipo juu sana, hajifichi kwenye uoga wa kijamaa na siku zote haogopi kuongea mbele ya mgeni yoyote yule.
 
Bunge utoporo
Bunge la mako

Pambaf....!!Very likely we ni mmoja wa midume inayokuwa controlled na mawazo ya kike! Shame on you! Pole sana.
 
Ndio Rais wetu huyu hatuna la kufanya muda huu labda Mola aamue kuingilia kati.

Utasikia sana wazee na vijana wenye nguvu wakisema Mama, Mama mpaka mwaka huo wa 2030.

Hayati JPM angekuwa hai mpaka muda huu usingekuja na hayo maoni yako.
 
Back
Top Bottom