Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Moja Takatifu la Mitume halifanyi SiasaLeo Kwa mara ya Kwanza katika historia ya Tanzania viongozi wa kanisa katoliki hawajaalikwa bungeni......Hii ni zaidi ya hatari Kwa siasa zetu
Katika hili Magufuli alitukosea sana watanzania.
yeye ndio alipiga kura?Katika hili Magufuli alitukosea sana watanzania.
utamualikaje mtu hataki kisa mkatolikiLeo Kwa mara ya Kwanza katika historia ya Tanzania viongozi wa kanisa katoliki hawajaalikwa bungeni......Hii ni zaidi ya hatari Kwa siasa zetu
SSH amelitaka jeshi la polisi kushughulikia watu kupotea ,swali langu kwani jeshi letu linalalamikiwa kupotea au UTEKAJI?Mama leo hii na muda huu anafunga Bunge lake. Ni Bunge la Chama kimoja ni Bunge la kibabe na Bunge lisilotambua Vyama vingi!!
Ndo maana hata Spika wakti anatambulisha wageni sijasikia Kiongozi wa Kambi ya Upinzani kutajwa. Hakuna Covid-19, hakuna CHADEMA, hakuna ACT Wazalendo hakuna chochote kuhusu Upinzani.
Tafakari.
Itakuwa wamegomea mwalikoMoja Takatifu la Mitume halifanyi Siasa
Kumjihu mtu kama wewe ni kujikosea adabuyeye ndio alipiga kura?
Yaani ni hatari na nusu. Mama kaamua kama mbwai na iwe mbwaiLeo Kwa mara ya Kwanza katika historia ya Tanzania viongozi wa kanisa katoliki hawajaalikwa bungeni......Hii ni zaidi ya hatari Kwa siasa zetu
Ni uhuni, ni ubabe! Kisa Padre Kitima kuwaambia ukweli! Shame on Mama Samia!Leo Kwa mara ya Kwanza katika historia ya Tanzania viongozi wa kanisa katoliki hawajaalikwa bungeni......Hii ni zaidi ya hatari Kwa siasa zetu
Itamgharimu muda si mrefu. Vox Populi, Vox De!!. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu.Yaani ni hatari na nusu. Mama kaamua kama mbwai na iwe mbwai
Nyerere na Magufuli ni watu wa hovyo sana kupata kutokea ndio maana HIV na.COVID ziliwaondoa.Unaleta masuala ya kipuuzi ya udini. Mwinyi alikufa kwa kansa ya kifua na hakuna hata mwenye eakili timamu anaykukiongelea kifo chake.