johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Nalifananisha bunge la Ndugai linaloanza leo sawa na lile bunge la katiba baada ya UKAWA kususia wakiongozwa na Prof. Lipumba.
Tutegemee mambo mengi mazuri na mengi ya kushangaza lakini zaidi ni kuibuka watu aina ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar mh Othman kadhalika aliyekuwa mbunge wa CHADEMA Mh Arfi.
Upinzani watakuwa na Wabunge 26 endapo Wabunge wa viti maalum 19 kutoka CHADEMA wataapishwa.
Lakini wabunge wa darasa la 7 wanaweza kufichwa kabisa kwa sababu bunge hili halitakuwa na zomeazomea, mipasho wala vijembe kwa sababu limesheheni full kijani.
Maendeleo hayana vyama!