Bunge linalokuja mwezi Februari lijadili kwa hati ya dharura Mkopo wa tril 1.3. kwa maslahi ya Taifa. Namna ulivyopatikana na matumizi yake

KATIKA FEDHA AMBAZO NIMEZISHUHUDIA KWA UFASAHA KABISA ZIKIGAWANYWA WAZIWAZI NI MKOPO HUU WA AWAMU YA SITA WA TRILION 1.3, NAZUNGU KWA UKWELI HALISI MBELE ZA MUNGU.
kinachoniuma sana ni zile trillion 1.5 ambazo prof.asad alizingamua hazijulikani zipo wapi dictator akamfukuza kazi kinyama sana.
 
Mikopo ya magufuli mbona hamkuwahi kuijadili?
 

Tanzania hakuna bunge Ni kikao Cha chama Cha mapinduzi.
 
Kwani hujaona kazi ya 1.3 Trillion. Huu ni mkopo ulio na faida kwetu kuliko ile mikopo ya kununua ndege.
Bongo vilaza Ni wengi Sana na ndio maana wanasiasa wanazidi kuzalisha vilaza wa kutosha.
Return ya huo mkopo Ni Nini au faida ya kujenga madarasa mengi bila kuwa na Walimu wa kutosha faida yake Ni Nini?
Karne hii unachukua mkopo unajenga madarasa et hayo ndio maendeleo.
Je unajua Elimu inakoelekea Karne hii.
Je unajua kipato Cha Mwalimu ambae ndie mtoa hiyo Elimu?
Je kipi Bora uwe na walimu wa kutosha alafu madarasa machache au uwe na madarasa mengi huku walimu wa kuunga unga
 
Naunga mkono hoja, kwani Kuna tetesi nimesikia kuwa zenji wamepata mgawo wa Bil. 200. Hii haikubaliki kulingana na uwiano wa watu na eneo Kati ya bara na zenji
Plan ni kuwa Zanzibar iwe Dubai kabla Bara haijashtuka.
 
Gwajima katuambia walijadili inabidi turudi kwenye Hansard kikao kipi walijadili na ni lini?
 
Happy new year 1st born
 
We akili yako ikoje,hivi hata utafiti kidogo hufanyi mkopo huo ulipitia bungeni na kujadiliwa na hatimae kupitishwa,unataka nini sasa?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kama bunge lenyewe ni hili la chama kimoja hicho kitu cha kuihoji serikali sahau ndugu yangu.

Nani atakubali kumfunga paka kengele wakati wanaona kilucho mpata Ndugayi bado kipo kinamtafuta mwenzake?
 
mpumbavu wewe naona andiko lako linachuki tu na wazanzibar.kama mnaona wazanzibar wanapendelewa basi vunjeni muungano.
Kwani huo muungano ukivunjwa nani ataumia?

Mbona unakuwa na hasira kama nyegere kwa kujipaka kinyesi usoni?
 
Zanzibar wanapewa asilimia za mkopo kisheria, kama tunaona wanapewa zaidi ni kubadili sheria na kupunguza kiasi kulingana na hali halisi.
Hatuwezi kulalamika kwenye jambo tulilojitungia sheria wenyewe.
Hiyo sheria wewe ulishiriki wapi kwenye kuitunga?
 
Kwani hujaona kazi ya 1.3 Trillion. Huu ni mkopo ulio na faida kwetu kuliko ile mikopo ya kununua ndege.
Kitajulikana tu kama siyo leo basi kesho pia ni siku
 
Mpuuzi wewe
 
Kitendo cha Samia kupeleka bilioni 230 Zanzaibar ni ufisadi mtupu. Tunaambiwa hata ndege mpya zote zilizopokewa wakati wa utawala wake zimeelekezwa Zanzibar. Huyu mama anatutafuta maneno na atayapata.
hamna Cha kufanya mazuzu nyie wa bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…