Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikopo ya magufuli mbona hamkuwahi kuijadili?Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Bongo vilaza Ni wengi Sana na ndio maana wanasiasa wanazidi kuzalisha vilaza wa kutosha.Kwani hujaona kazi ya 1.3 Trillion. Huu ni mkopo ulio na faida kwetu kuliko ile mikopo ya kununua ndege.
Muungano ukivunjika sasa hivi huyo bibi atapoteza urais anaoung'ang'ania.mpumbavu wewe naona andiko lako linachuki tu na wazanzibar.kama mnaona wazanzibar wanapendelewa basi vunjeni muungano.
Plan ni kuwa Zanzibar iwe Dubai kabla Bara haijashtuka.Naunga mkono hoja, kwani Kuna tetesi nimesikia kuwa zenji wamepata mgawo wa Bil. 200. Hii haikubaliki kulingana na uwiano wa watu na eneo Kati ya bara na zenji
Gwajima katuambia walijadili inabidi turudi kwenye Hansard kikao kipi walijadili na ni lini?Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Happy new year 1st bornUnajua ukweli mchungu ni kwamba, Mwalimu ndie ""aliiuza Tanganyika kwa ZNZ...
Mwalimu alikubali ku-sacrifice mambo mengi sana ya Tanganyika for the sake of Muungano...
Tena nikisema "alikubali ku-sucrifice" itakuwa ni kama nakosea kwa sababu, I'm certain ni yeye mwenyewe na timu yake ndie waliweka mezani ita-sacrifice ni na nini, na ZNZ atapata nini ili aweze kumshawishi Karume!!!
Moja ya sacrifice ndo kama hizi za huku haruhusiwi kumiliki ardhi kule lakini wa kule anaruhusiwa kumiliki ardhi huku...
Hata kwenye mgawanyo wa ajira mambo ndo yapo hivyo hivyo..
So, my friend, usishangae siku ukija kuambiwa kwamba hata huo mgawanyo umezingatia Sheria ya Mgawanyo wa Pesa za Mkopo!!!
Unajua hili tunaloona ni balaa la SSH kuipendelea ZNZ chimbuko lake ni Serikali ya JK ambayo ilimteua SSH kama Waziri anayeshughulikia Kero za Muungano!!
Sasa SSH akiwa waziri alifanikiwa kuyaona "madudu yetu yoooooote" ya kujipendekeza ili tuwe na muungano! Kule ndiko akajua ZNZ anapata nini na nini ambayo wala haikuzingatia population proportionality!!
Itoshe tu kusema kwamba WE SACRFICED A LOT FOR THE UNION!!
We akili yako ikoje,hivi hata utafiti kidogo hufanyi mkopo huo ulipitia bungeni na kujadiliwa na hatimae kupitishwa,unataka nini sasa?Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Kama bunge lenyewe ni hili la chama kimoja hicho kitu cha kuihoji serikali sahau ndugu yangu.Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Katelefone mwenyewe hana uhakika wa kusalia pale kwenye kiti cha enziNani ataitengeneza hiyo hati ya dharula. Ksimu?
View attachment 2073000
Kwani huo muungano ukivunjwa nani ataumia?mpumbavu wewe naona andiko lako linachuki tu na wazanzibar.kama mnaona wazanzibar wanapendelewa basi vunjeni muungano.
Ndiyo tabia zao hao kujifanya damu ya mtumeAcha kujishusha namna hiyo.
Hiyo sheria wewe ulishiriki wapi kwenye kuitunga?Zanzibar wanapewa asilimia za mkopo kisheria, kama tunaona wanapewa zaidi ni kubadili sheria na kupunguza kiasi kulingana na hali halisi.
Hatuwezi kulalamika kwenye jambo tulilojitungia sheria wenyewe.
Kitajulikana tu kama siyo leo basi kesho pia ni sikuKwani hujaona kazi ya 1.3 Trillion. Huu ni mkopo ulio na faida kwetu kuliko ile mikopo ya kununua ndege.
Si mpaka ule mchanga uliochanganywa be utenganishwe[emoji23][emoji23]?Muungano ukivunjika sasa hivi huyo bibi atapoteza urais anaoung'ang'ania.
Mpuuzi weweKila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
hamna Cha kufanya mazuzu nyie wa baraKitendo cha Samia kupeleka bilioni 230 Zanzaibar ni ufisadi mtupu. Tunaambiwa hata ndege mpya zote zilizopokewa wakati wa utawala wake zimeelekezwa Zanzibar. Huyu mama anatutafuta maneno na atayapata.