Dikteta alikuwa fisadi kuuKATIKA FEDHA AMBAZO NIMEZISHUHUDIA KWA UFASAHA KABISA ZIKIGAWANYWA WAZIWAZI NI MKOPO HUU WA AWAMU YA SITA WA TRILION 1.3, NAZUNGU KWA UKWELI HALISI MBELE ZA MUNGU.
kinachoniuma sana ni zile trillion 1.5 ambazo prof.asad alizingamua hazijulikani zipo wapi dictator akamfukuza kazi kinyama sana.
Mikopo kuwa siri haijaanza leo wala jana wakati mwingine ni sehemu ya masharti ya wanaotukopesha.Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Mahekalu unayoyaona mbezi beach, mikocheni na masaki ndivyo yanavyojengwa.Huo mkopo sijui msaada wa Uviko na WB kuna watendaji wataibuka mabepari hatari! Nina mashaka makubwa sana na management ya hizo funds kuanzia ngazi ya wizara hadi wasimamizi wa kinachoitwa ujenzi wa madarasa huko chini. CAG kazi anayo!
Zanzibar ni nchi huru, mchongameno aliungana na zanzibar kwa hiyari yake chochote kinachopatikana ni nusu kwa nusu na sio izo bil200 asilimia 4 sijui., mama ana kazi bado ya kupeleka hizi fedha zanzibar miaka mingi tanganyika wanazitumia hizi hela peke yao, wamejenga madaraja sijui wamenunua ndege, flyover na ma sgr kule zanzibar hakuna kitu., lakini on top of that zanzibar wanalipa kodi zinaenda tanganyika kupitia TRA., ni unyama mkubwa hawa wanyamawezi wanaowafanyia wazanzibariNaunga mkono hoja, kwani Kuna tetesi nimesikia kuwa zenji wamepata mgawo wa Bil. 200. Hii haikubaliki kulingana na uwiano wa watu na eneo Kati ya bara na zenji
Tutaanza na kujadili trilioni 29 kwa miaka 5 ya mwendazake kwanini alikopa hii hela na kwa ajili gani na riba zake zikoje nadhani tuanzie hapo., hii ya 1.3 bado ni vijisent kwa tril29.,Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Mimi nipo huku Zanzibar sijaona miradi ikifanyika mfano madarasa na vyoo, barabara sasa hizo pesa za mgao zilizo pelekwa Zanzibar zime tumika kwenye nini?Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Povu ruhusa siku zote. Awamu ya JPM ilikopa bilioni 29.3 na hakuna aliyefungua mdomo wake kuhoji au kuanzisha mjadala.Wewe ni mpuuzi huna akili. Chuki inatoka wapi? Kuhoji matumizi ya mkopo ni kosa? Pumbavu huna akili
Mbona huku Zanzibar hatuoni vitu vikifanyika na pesa wame pewa billion 200 au wame pewa maneno wala siyo pesa?Kwani hujaona kazi ya 1.3 Trillion. Huu ni mkopo ulio na faida kwetu kuliko ile mikopo ya kununua ndege.
Kwa uku Zanzibar bado hatujaonaKwani hujaona kazi ya 1.3 Trillion. Huu ni mkopo ulio na faida kwetu kuliko ile mikopo ya kununua ndege.
Wewe ndio hutumii akili. Mikopo ni kwa ajili ya SGR inayogharamiwa kwa shilingi trilioni 14. Tozo za ndani ndio zinakwenda kwenye matumizi ya ndani kama vile miradi ya maji, ujenzi wa madarasa mapya, ukarabati wa viwanja vya ndege.Tril 29.3 zilikopwa kujenga madarasa wakati kuna tozo zinazojenga madarasa? Tumia akili pimbi mkubwa. Tril 29.3 huku una miradi mkakati kama Sgr, JNHP na mingine kuna shida?
Una uhakika magu alikopa tirioni 29 Leta hapa hizo dataTutaanza na kujadili trilioni 29 kwa miaka 5 ya mwendazake kwanini alikopa hii hela na kwa ajili gani na riba zake zikoje nadhani tuanzie hapo., hii ya 1.3 bado ni vijisent kwa tril29.,
Sasa kama mwalimu ndiye alie scrifice tanganyika kwa Zanzibar, mbona wazanzibari walipotaka kuvunja muungano Lukuvi alisema hatuwezi kuicha Zanzibar lazima tutaishikilia?Unajua ukweli mchungu ni kwamba, Mwalimu ndie ""aliiuza Tanganyika kwa ZNZ...
Mwalimu alikubali ku-sacrifice mambo mengi sana ya Tanganyika for the sake of Muungano...
Tena nikisema "alikubali ku-sucrifice" itakuwa ni kama nakosea kwa sababu, I'm certain ni yeye mwenyewe na timu yake ndie waliweka mezani ita-sacrifice ni na nini, na ZNZ atapata nini ili aweze kumshawishi Karume!!!
Moja ya sacrifice ndo kama hizi za huku haruhusiwi kumiliki ardhi kule lakini wa kule anaruhusiwa kumiliki ardhi huku...
Hata kwenye mgawanyo wa ajira mambo ndo yapo hivyo hivyo..
So, my friend, usishangae siku ukija kuambiwa kwamba hata huo mgawanyo umezingatia Sheria ya Mgawanyo wa Pesa za Mkopo!!!
Unajua hili tunaloona ni balaa la SSH kuipendelea ZNZ chimbuko lake ni Serikali ya JK ambayo ilimteua SSH kama Waziri anayeshughulikia Kero za Muungano!!
Sasa SSH akiwa waziri alifanikiwa kuyaona "madudu yetu yoooooote" ya kujipendekeza ili tuwe na muungano! Kule ndiko akajua ZNZ anapata nini na nini ambayo wala haikuzingatia population proportionality!!
Itoshe tu kusema kwamba WE SACRFICED A LOT FOR THE UNION!!
Vuta clip ya Steven Wasira hivi karibuni,Una uhakika magu alikopa tirioni 29 Leta hapa hizo data
Kwa Bunge lipi,hili lililojaa wabunge wa chupli chupli walioingizwa kwa kura za kwenye mabegi na mitutu ya bunduki? Hao wote wako upande wa Rais.Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe
wazi kuna siri
Hata Sukuma gang hawawezi kukubali hii kitu kwa sababu wanajua itawavua nguo kwenye mikopo yao ya zamani.Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Kama ndugai kaondolewa kwa hila kwa kuhoji mikopo, unategemea kuna mwingine atakuwa na guts hizo? kinachofuata tokea sasa ni makofi na vigeregere kwa mama. Naona kale ka wimbo ka 'tuna imani na mamaaa....hoyaaaa....hoyaaaa.....hoyaaaa....' kanenda kutamalaki kunako mjengoni.Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh ngapi kwa ajili ya nini? Matumizi yawekwe wazi kuna siri kubwa.
Narudia tena hata Sukuma gang hawawezi kukubali hii hoja,itawapukutisha kwenye vyeo na kuwatia kolokoloni.Tatizo una chuki binafsi na mama. Nadhani wangeaza na trillion 20 zilizokopwa kipindi Cha jiwe ndio waje kujadili za mama. Halafu, jiwe alipokuwa anapeleka miradi chato mlishangilia Sana. Mama akipeleka pesa Zanzibar mnalalamika.
Miaka yote alikuwa wapi kuhoji? Kwanza kajiondoa nani kamjondoa?Kama ndugai kaondolewa kwa hila kwa kuhoji mikopo, unategemea kuna mwingine atakuwa na guts hizo? kinachofuata tokea sasa ni makofi na vigeregere kwa mama. Naona kale ka wimbo ka 'tuna imani na mamaaa....hoyaaaa....hoyaaaa.....hoyaaaa....' kanenda kutamalaki kunako mjengoni.
Tangu lini 1.3 t ikawa Siri?Mikopo kuwa siri haijaanza leo wala jana wakati mwingine ni sehemu ya masharti ya wanaotukopesha.
Hizi siasa za chuki dhidi ya nani anayeiongoza awamu ya sita, haziwezi kubadilisha tamaduni na taratibu za mikopo tunayopewa na taasisi za dunia ya kwanza.
Wewe mzanzibari kihoro kitakuua, na hizi pesa mlizojigawia mtakuja kuzilipa kwa jasho na damu........muda utaongea.Si ni Bara kwani nani anakomalia huo Muungano?