W WALOLA VUNZYA JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 8,437 Reaction score 8,136 Jun 29, 2025 #121 Tindo said: Mbegu aliyootesha dhalimu magu imeshaota. Click to expand... Na hiyo mbegu itaitesa Tanzania karibia miaka thelathini ijayo
Tindo said: Mbegu aliyootesha dhalimu magu imeshaota. Click to expand... Na hiyo mbegu itaitesa Tanzania karibia miaka thelathini ijayo
B-2 STEALTH BOMBER JF-Expert Member Joined Sep 15, 2024 Posts 4,640 Reaction score 6,422 Jun 29, 2025 #122 Tusifanye makosa wakati wanaoamua n mafisiemu
Youbettersleep JF-Expert Member Joined May 3, 2019 Posts 955 Reaction score 1,672 Jun 29, 2025 #123 NO REFORM NO ELECTION
Mwaikibaki JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 3,047 Reaction score 3,786 Jun 29, 2025 #124 Chief una maanisha nini? Jukumu lako ni kupiga kura kwa mtu sahihi, swali ni unayempigia akiwa mshindi atatangazwa? Huo mwaka uliotaja kwani tulikosea nini? Tulipiga kura ila hatma ya nani atangazwe ndio issue ilipokua! Usitegemee miujiza.
Chief una maanisha nini? Jukumu lako ni kupiga kura kwa mtu sahihi, swali ni unayempigia akiwa mshindi atatangazwa? Huo mwaka uliotaja kwani tulikosea nini? Tulipiga kura ila hatma ya nani atangazwe ndio issue ilipokua! Usitegemee miujiza.