PreGE2025 Bunge linavunjwa kesho, Watanzania tusirudie makosa tuliyofanya 2020

PreGE2025 Bunge linavunjwa kesho, Watanzania tusirudie makosa tuliyofanya 2020

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakili msomi Edson Kilatu aliye pia mchambuzi wa maswala ya sera na katiba anatupitisha exclusively kuchambua mamlaka ya rais wa Jamhuri ya Muungano na pia rais wa SMZ katika kurefusha ukomo wa bunge au Baraza la Wawakilishi :

26 June 2025

BUNGE LA MUUNGANO DODOMA

Kwa upande wa Bunge la Dodoma je hali ipoje kisheria na kikatiba, wakili msomi anafafanua


View: https://m.youtube.com/watch?v=109seI462uQ

Edson Kilatu : ibara ya 65 ya katiba ya 1977 kuhusu Bunge la Muungano kuvunjwa, bunge huvunjwa ikiwa limemaliza miaka 5 , pia ibara ya 90 inaweza kuvunjwa kabla ya wakati au huku ibara ya 91 inazungumziwa kurefusha muda Bunge la Dodoma na la Baraza la Wawakilishi, kimamtiki haitakiwi kutofautiana hivyo inawezekana Bunge la Dodoma kuongezewa muda ...ikiwa ...



(3) Muda wa maisha ya Bunge ukimalizika Bunge litahesabiwa kuwa limevunjwa; isipokuwa kwamba muda huo ukiisha wakati wowote ambapo Jamhuri
ya Muungnao iko katika vita Bunge laweza mara
kwa mara kuongeza muda huo uliotajwa katika ibara
ya 65 ya Katiba hii kwa muda usiozidi miezi kumi na
miwili mara kwa mara lakini maisha ya Bunge hayawezi
kuongezwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo
hii kwa muda unaozidi miaka mitano.

(4) Kukitokea hali ya hatari au kama kuna hali ya
hatari ambayo Rais
anaona inasababisha kuitisha
Mkutano wa Bunge na iwapo wakati huo Bunge limevunjwa na matokeo ya kura zilizo nyingi za Uchaguzi Mkuu hayajatangazwa basi Rais aweza kutoa Taarifa Maalum ya kuitisha Mkutano wa Bunge na kuagiza kwamba Spika na watu wote waliokuwa
Wabunge mara tu kabla Bunge halijavunjwa wahudhurie Mkutano huo wa Bunge na watu hao pamoja na huyo Spika, watahesabiwa kuwa ndio
Wajumbe wa Bunge kwa madhumuni ya Mkutano
huo na watahesabiwa hivyo mpaka usiku wa manane wa siku yatakapotangazwa matokeo ya kura zilizo nyingi za Uchaguzi Mkuu.

91.-(1) Rais atalihutubia Bunge Jipya katika Mkutano wake wa Kwanza na kulifungua rasmi
Bunge hilo.

(2) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ndogo ya

(1), Rais aweza wakati wowote kulihutubia Bunge
Rais aweza kulihutubia Bunge
Sheria ya 1984 Na. 15 ib.
14


24 June 2025
Washington DC, United States of America

Othman Masoud Othman : ''Njia hii ya 'No Reform No Election' sisi tushaipita, tunaijua miba yake.....''​


View: https://m.youtube.com/watch?v=jRs0x2t5pqM
Mh. Othman makamu wa kwanza wa Rais wa serikali ya Zanzibar akizungumza na diaspora ya waTanzania waliopo nchini Marekani

Walio na hoja ya No Reforms No Election wana ujumbe sahihi kwani katika uchaguzi ili uwe wa haki na huru hoja hiyo ina ukweli asema Mh. Othman ...
 
Babu Tale atawapelekea wanachama wake tisheti na kanga!
 
24 June 2025
Washington DC, United States of America

Othman Masoud Othman : ''Njia hii ya 'No Reform No Election' sisi tushaipita, tunaijua miba yake.....''​


View: https://m.youtube.com/watch?v=jRs0x2t5pqM
Mh. Othman makamu wa kwanza wa Rais wa serikali ya Zanzibar akizungumza na diaspora ya waTanzania waliopo nchini Marekani

Walio na hoja ya No Reforms No Election wana ujumbe sahihi kwani katika uchaguzi ili uwe wa haki na huru hoja hiyo ina ukweli asema Mh. Othman ...

1750984952013.jpeg
 
Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi)

Posho kujikimu — Sh250,000 (siku)

Posho kitako — Sh220,000 (siku)

Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs)

Mkopo gari — Sh90M (5yrs)

Mfuko wa Jimbo — Sh55M (mwaka)

Malipo ya mafuta, katibu na dereva Posho

ziara za mafunzo ughaibuni

Posho za vikao kamati & semina

Mkopo mkubwa – dhamana ubunge

Bima ya afya kwa familia, BURE

Passport hadhi ya kibalozi, BURE

Mshahara hauna makato yoyote.

Hakuna makato mifuko hifadhi ya jamii
 
Nchi INAPIGWA !!!!

MAFAO YA KIINUA MGONGO; WABUNGE WANAOGELEA.Kiinua mgongo kwa mbunge mmoja wa Bunge la Tanzania ni Sh272 milioni baada ya kipindi cha miaka 5 akihudumu kama mbunge wa Bunge la Tanzania. Jumla ya idadi yote ya wabunge ni 393. Wabunge wa majimbo ni 264. Wabunge wa viti maalum ni 113. Wabunge kutoka katika baraza la wawakilishi ni 5. Wabunge wa kuteuliwa na Rais ni 10. Mwanasheria Mkuu wa Serikali 1. Jumla ya wabunge wote katika Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania ni 393. Ukichukua kiinua mgongo Sh272 milioni ukazidisha kwa jumla ya idadi ya wabunge wote katika Bunge la Tanzania 393 unapata Sh106,896,000,000. Malipo ya kiasi cha shilingi 272 milioni kwa kila mbunge kama mafao ya kustaafu, ni sawa na madawati 1,916 kwa bei ya shilingi 120,000 kwa dawati moja.Kiasi hicho cha fedha za umma kinaweza kujenga nyumba tano za walimu. Kiinua mgongo cha wabunge 393 kinaweza kujenga nyumba 1,965 za walimu.Lakini mbunge mmoja katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atapata kwa kufanya kazi miaka 5 akiwa bungeni akigonga meza kutetea Serikali.Wakati waliostaafu Bunge la 8 lililoongozwa na Spika Pius Msekwa, wabunge waliokuwepo bungeni walilipwa mafao ya kustaafu shilingi 20 milioni kila mmoja.Bunge la 9 lililokuwa likiongozwa na Spika Samuel Sitta, wabunge waliokuwepo katika bunge hilo walilipwa mafao ya kustaafu shilingi milioni 72 kila mmoja.Bunge la 10 lililoongozwa na Spika Anna Makinda, wabunge waliokuwepo bungeni walilipwa mafao ya kustaafu, shilingi 230 milioni kwa kila mbunge.Bunge la 11 lililoongozwa na Job Ndugai, wabunge waliokuwepo katika bunge hilo walilipwa mafao ya kustaafu, shilingi 272 milioni kwa kila mbunge.Malipo ya kustaafu yanajumuisha kiinua mgongo (gratuity) hii ni 40% ya malipo ya mshahara ya mbunge katika jumla ya kipindi alichotumikia bungeni.Posho ya hitimisho la kazi (winding up allowance) ambayo ni 40% ya kiinua mgongo), posho ya usumbufu (relocation allowance) 40% ya kiinua mgongo.Pia, inajumuisha posho ya mpito (transitional allowance). Mishahara ya mbunge ya miezi 3 na mafao ya utumishi wa mbunge. Wanaogelea mapesa.Mafao ya Uzeeni hulipwa kwa Mwanachama aliyetimiza umri wa kustaafu kwa mujibu wa Sheria ya Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma ya 2018.Awe Mwanachama wa PSSSF. Awe amechangia kwenye Mfuko kwa kipindi kisichopungua miezi 180 au miaka 15. Awe ametimiza umri wa kustaafu kisheria,Mwanachama mstaafu aweze kupata Pensheni ya Uzeeni, inabidi kuwasilisha fomu PS-BEN.1 ambayo imejazwa vyema pamoja na viambatanisho.Umri wa kustaafu kwa hiari wa miaka 55 na kwa lazima ni miaka 60. Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anahitaji miaka 5 tu kulipwa mafao.MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
 
MAFAO YA KIINUA MGONGO; WABUNGE WANAOGELEA.

Kiinua mgongo kwa mbunge mmoja wa Bunge la Tanzania ni Sh272 milioni baada ya kipindi cha miaka 5 akihudumu kama mbunge wa Bunge la Tanzania.

Jumla ya idadi yote ya wabunge ni 393. Wabunge wa majimbo ni 264. Wabunge wa viti maalum ni 113. Wabunge kutoka katika baraza la wawakilishi ni 5.

Wabunge wa kuteuliwa na Rais ni 10. Mwanasheria Mkuu wa Serikali 1. Jumla ya wabunge wote katika Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania ni 393.

Ukichukua kiinua mgongo Sh272 milioni ukazidisha kwa jumla ya idadi ya wabunge wote katika Bunge la Tanzania 393 unapata Sh106,896,000,000.

Malipo ya kiasi cha shilingi 272 milioni kwa kila mbunge kama mafao ya kustaafu, ni sawa na madawati 1,916 kwa bei ya shilingi 120,000 kwa dawati moja.

Kiasi hicho cha fedha za umma kinaweza kujenga nyumba tano za walimu. Kiinua mgongo cha wabunge 393 kinaweza kujenga nyumba 1,965 za walimu

.Lakini mbunge mmoja katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atapata kwa kufanya kazi miaka 5 akiwa bungeni akigonga meza kutetea Serikali.Wakati waliostaafu

Bunge la 8 lililoongozwa na Spika Pius Msekwa, wabunge waliokuwepo bungeni walilipwa mafao ya kustaafu shilingi 20 milioni kila mmoja.

Bunge la 9 lililokuwa likiongozwa na Spika Samuel Sitta, wabunge waliokuwepo katika bunge hilo walilipwa mafao ya kustaafu shilingi milioni 72 kila mmoja

.Bunge la 10 lililoongozwa na Spika Anna Makinda, wabunge waliokuwepo bungeni walilipwa mafao ya kustaafu, shilingi 230 milioni kwa kila mbunge.

Bunge la 11 lililoongozwa na Job Ndugai, wabunge waliokuwepo katika bunge hilo walilipwa mafao ya kustaafu, shilingi 272 milioni kwa kila mbunge.

Malipo ya kustaafu yanajumuisha kiinua mgongo (gratuity) hii ni 40% ya malipo ya mshahara ya mbunge katika jumla ya kipindi alichotumikia bungeni.

Posho ya hitimisho la kazi (winding up allowance) ambayo ni 40% ya kiinua mgongo), posho ya usumbufu (relocation allowance) 40% ya kiinua mgongo.

Pia, inajumuisha posho ya mpito (transitional allowance). Mishahara ya mbunge ya miezi 3 na mafao ya utumishi wa mbunge. Wanaogelea mapesa.

Mafao ya Uzeeni hulipwa kwa Mwanachama aliyetimiza umri wa kustaafu kwa mujibu wa Sheria ya Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma ya 2018.

Awe Mwanachama wa PSSSF. Awe amechangia kwenye Mfuko kwa kipindi kisichopungua miezi 180 au miaka 15. Awe ametimiza umri wa kustaafu kisheria,

Mwanachama mstaafu aweze kupata Pensheni ya Uzeeni, inabidi kuwasilisha fomu PS-BEN.1 ambayo imejazwa vyema pamoja na viambatanisho.

Umri wa kustaafu kwa hiari wa miaka 55 na kwa lazima ni miaka 60. Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anahitaji miaka 5 tu kulipwa mafao.

MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.

Kiutoka mtandao wa X
 
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.

Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Kulikua na uchaguzi?
 
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.

Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Wewe Ni mjinga
 
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.

Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Pole sana kwa Kupoteza muda wako kuwashauri Watu ambao Kiasili ni Wanafiki, Hawajitambui na Majuha.
 
ACHA kuwapa watz mzigo wenye miiba!!

Siasa zetu ni lango la utajiri wa kutofautisha wenye nacho na wasionacho!!

Hakuna hakuna hakuna!!

Kama taifa tuliamua mapato mengi yaende Kwa Wachache kupitia maneno yaitwayo siasa ili wengine wabaki na umaskini wao!huo ni mfumo!!
Kweli Mkuu, ni ujinga mkubwa sana kumlipa mbunge mmoja mishahara ya 60 kwa mwezi!
 
Una chuki binafzi na shuja wa Africa? Vipi umeshapita juu ya daraja la JPM pale Kigongo Busisi? Ulidhania upo Us?
Nimepita kwenye madaraja zaidi hilo, so nothing special.
 
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.

Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
NO REFORMS NO ELECTION NDIO DAWA PEKEE YA KURUDISHA IMANI YA WANANCHI KTK KUCHAGUA VIONGOZI WAKE WENYE MAADILI NA AKILI TIMAMU.
 
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.

Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Kweli kabisa karibia 95% ya wabunge wasirudi, ili iwe fundisho kwao
 

"Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!"​


Kabla ya wakoloni tulikuwa na utawala wa kichifu, hakukuwa na hicho wanafalsafa wa ugiriki wamekiita demokrasia. Ni ajabu mtu kuamini hatima yake inaamuliwa na siasa wakati historia inaonyesha hakuna mahali demokrasia imewahi kufanya maajabu.
Leo tunaongea hivi kwa sababu ya Demokrasia.Kama tungeendelea na utawala wa machifu wengine tusingeoa na ukioa mwanamke mrembo unauliwa,anachukuliwa na chifu inakuwa mali yake.Heko sana Wazungu kwa ubinadamu uliotukuka.
 
Back
Top Bottom