PreGE2025 Bunge linavunjwa kesho, Watanzania tusirudie makosa tuliyofanya 2020

PreGE2025 Bunge linavunjwa kesho, Watanzania tusirudie makosa tuliyofanya 2020

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unaongea Kama MTU mjinga hao wabunge nani aliwachagua ?

Yaani nilitegemea ulaumu Magufuli na Gang yake kwa kuharibu uchaguzi Ila wewe unalaumu wananchi ambao hawakushiriki katika huo uchaguzi .
Hao majamaa waliabudu mtu badala ya kujali nchi.Lakini amekiri mwenyewe kuwa lilikuwa kosa kubwa kuamini katika mtu mmoja hivyo tunaomba shirikiane nasi katika NO REFORM NO ELECTION.
 
"Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!"​

Kabla ya wakoloni tulikuwa na utawala wa kichifu, hakukuwa na hicho wanafalsafa wa ugiriki wamekiita demokrasia. Ni ajabu mtu kuamini hatima yake inaamuliwa na siasa wakati historia inaonyesha hakuna mahali demokrasia imewahi kufanya maajabu.
 
Marekani,Ufaransa,Uingereza,Hispania,Italy,Ureno,Ghana na Afrika Kusini demokrasia imefanya maajabu.
 
naeraHoYaani kurudia makosa yakuda kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.

Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Ukisikia mtu aliyeokoka na kutubu ni vizuri ni wewe.Hongera sana.Karibu kwenye harakati za kudai haki
 
Mwanamke akae kwa jiko tu inatosha...ndivyo unamaanisha😋, wakapaki v8 zote za serikali ofisini...watumie gari walizonunua kwa pesa walizotuibia miaka hiyo mitano, hatutakuwa na naibu waziri mkuu tena...wasijizime data wapambane nafasi zingine...nchi masikini madeni mengi, Mpina anatakiwa arudi bungeni kwa gharama yeyote Ile😄
 
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.

Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Kama wamesha anza kusema hata tukimpigia mpinzani hata tangazwa sasa kwanini nipoteze muda wangu kwenda kupoteza kura yangu? Tuache Mungu anae tulipia visasi aseme nao.
 
Huyu Idugunde anajitoa ufahamu tu
#TANZANIA:MAKINDA:HAO WENGINE HATA UKIWAPIGIA KURA HAWATASHINDA, KWANINI UPIGE KURA YA KUPOTEZA
“Hao wengine hata ukiwapigia mbona hawatashinda, kwanini upige kura ya kupoteza? nakwambieni kwa Rais… kwa wabunge na madiwani shauri yenu kwa Rais ukipiga kura nyingine yoyote umeshindwa, kwanini upige kura ya kushindwa... pigeni kura mama(Rais wa Tanzania, Samia Suluhu) aibuke na kishindo kwelikweli dunia itambue tunavyompenda, alivyotuheshimisha na alivyoheshimisha dunia”- Anna Makinda, Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza kwenye Kongamano la Safari ya Mwanamke lililofanyika jijini Arusha hivi karibuni.
Kwanini sasa uka pige kura. Acha Mungu aseme nao..
 
"Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!"​

Kabla ya wakoloni tulikuwa na utawala wa kichifu, hakukuwa na hicho wanafalsafa wa ugiriki wamekiita demokrasia. Ni ajabu mtu kuamini hatima yake inaamuliwa na siasa wakati historia inaonyesha hakuna mahali demokrasia imewahi kufanya maajabu.
Nonsensical post
 
Back
Top Bottom