PreGE2025 Bunge linavunjwa kesho, Watanzania tusirudie makosa tuliyofanya 2020

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.

Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
 
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.

Unaongea Kama MTU mjinga hao wabunge nani aliwachagua ?

Yaani nilitegemea ulaumu Magufuli na Gang yake kwa kuharibu uchaguzi Ila wewe unalaumu wananchi ambao hawakushiriki katika huo uchaguzi .
 
ACHA kuwapa watz mzigo wenye miiba!!

Siasa zetu ni lango la utajiri wa kutofautisha wenye nacho na wasionacho!!

Hakuna hakuna hakuna!!

Kama taifa tuliamua mapato mengi yaende Kwa Wachache kupitia maneno yaitwayo siasa ili wengine wabaki na umaskini wao!huo ni mfumo!!
 
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.

Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
2020 tulifanya nini? Bunge la jpm hilo kwa crooks and hooks. Yule mzee alitukosea sana kama Nchi.
 
Nitoe kwenye huo ujinga nilikuwa huko kwetu mwika msae naotesha mahindi nakumbuka, niache kuotesha mahindi nikasimame kwenye foleni, na vile nilikuwa siielewi hiyo awamu,

Nanukuu NIMEKUWA RAISI KWA KUDRA ZA MUNGU, SIO WANANCHI 2025 TUNA JAMBO LETU,
 
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.

Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Mkuu hakuna uhusiano kati kupiga kura na kutangaza mshindi. Nenda kasikilize hotuba za kina Nape Nauye, DR Bashiru wakati akiwa KM. Tena Magu alitangaza bila kupepesa macho kwa wakurugenzi ambao walikuwa wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi kwa kuwaambia "Yaani Mkurugenzi nikupe mshahara, nyumba , na gari alafu umtangaze mpinzani ameshinda basi hufai".
 
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.

Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Hakuna aliyewachagua hao wabunge unaowazungumzia.
 
Unaongea Kama MTU mjinga hao wabunge nani aliwachagua ?

Yaani nilitegemea ulaumu Magufuli na Gang yake kwa kuharibu uchaguzi Ila wewe unalaumu wananchi ambao hawakushiriki katika huo uchaguzi .
Na safari hii yanajirudia kwa sababu wenye CCM wamekataa minimum reforms kwa kuruhu bunge kibogoyo livunjwe ili wawe peke yao
 
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.

Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Una uhakika hayo makosa yakifanywa na wananchi/Wapiga kura? Ni lini wamekuwa na maamuzi ya kuchagua?
 
Watanganyika hawawezi kukuelewa Mkuu wao wanawaza simba na Yanga.
Mkuu, huwa nasikia sana hii kauli ya Watanzania kuwaza Simba vs Yanga muda wote.

Huenda ikawa ni sahihi kwa kiasi fulani.

Lakini angalia hii engo nyingine kwamba wengi wanaogopa kujiingiza kwenye masuala ya siasa kutokana na uhalisia wenyewe katika siasa zetu.

Hata kama tunawalaumu, nadhani tusiwalaumu sana hadi kusahau sababu kwa nini wameamua kugeukia burudani, wakaacha masuala ya msingi kabisa yanayoamua hatma ya maisha yao.
 
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.

Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
2020 hakukuwa na uchaguzi na vile vile October hakutakuwa na uchaguzi, kuna maigizo tu ndiyo maana ya No reforms No Election.
 
Tanzania ya leo hakuna uchaguzi bwana tuache kudanganyana,ukiniambia angalao 2010 kurudi nyuma huko ndiyo kidogo kulikuwa na uchaguzi ila miaka ya hapa mbeleni hasa mwaka huu ndiyo kinaenda kujichagua kituko (zingatia siyo kuchaguliwa ni kujichagua) cha karne.

Bunge linalokuja litakuwa vichekesho maana kila mmoja atataka kumsifia aliye juu ili mwenzake akitumbuliwa kwa mipasho kiti akalie yeye.
 
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabungw kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.

Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Hatimaye na wewe umeziona athari za kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020.
 
Back
Top Bottom