Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Uchaguzi bila chadema kuwepo huo siyo Uchaguzi ni maigizo ya ibirisi wa ccmYaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Maigizo ya uchaguzi wabaki nayo wenyewe. Chakusikitisha zaidi ,wanaoongoza harakati hizi za wizi wa kura ni watu wazima. Hawapendi watoto wao kuwa wadokozi wakati wao wenyewe wanawafundisha kwenye chaguzi zetu. Hii ni laana kwa taifa.#TANZANIA:MAKINDA:HAO WENGINE HATA UKIWAPIGIA KURA HAWATASHINDA, KWANINI UPIGE KURA YA KUPOTEZA
“Hao wengine hata ukiwapigia mbona hawatashinda, kwanini upige kura ya kupoteza? nakwambieni kwa Rais… kwa wabunge na madiwani shauri yenu kwa Rais ukipiga kura nyingine yoyote umeshindwa, kwanini upige kura ya kushindwa... pigeni kura mama(Rais wa Tanzania, Samia Suluhu) aibuke na kishindo kwelikweli dunia itambue tunavyompenda, alivyotuheshimisha na alivyoheshimisha dunia”- Anna Makinda, Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza kwenye Kongamano la Safari ya Mwanamke lililofanyika jijini Arusha hivi karibuni.
Kwanini sasa uka pige kura. Acha Mungu aseme nao..
Wasingekuwa wanafanya uchaguzi haramu bandia na kupoteza mabilioni bure pesa za walipa kodi bora wajitangazie ufalume tu ijulikane moja kuliko kufanya chaguzi feki za magumashiTanzania ya leo hakuna uchaguzi bwana tuache kudanganyana,ukiniambia angalao 2010 kurudi nyuma huko ndiyo kidogo kulikuwa na uchaguzi ila miaka ya hapa mbeleni hasa mwaka huu ndiyo kinaenda kujichagua kituko (zingatia siyo kuchaguliwa ni kujichagua) cha karne.
Bunge linalokuja litakuwa vichekesho maana kila mmoja atataka kumsifia aliye juu ili mwenzake akitumbuliwa kwa mipasho kiti akalie yeye.
Kuchezea mabilioni kwa uchaguzi hewa feki magumashi ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodiMaigizo ya uchaguzi wabaki nayo wenyewe. Chakusikitisha zaidi ,wanaoongoza harakati hizi za wizi wa kura ni watu wazima. Hawapendi watoto wao kuwa wadokozi wakati wao wenyewe wanawafundisha kwenye chaguzi zetu. Hii ni laana kwa taifa.
Waziri wa elimu amepata Ubunge kwa wizi wa kura. Ulioratibiwa na Mkurugenzi wa Halmashauri kwa kuwafundisha Waalimu namna ya kutekeleza wizi huo. Ajabu pale Mwalimu yule atakapowafundisha Wanafunzi namna ya kufanya udanganyifu kwenye mtihani, Waziri na Mkurugenzi wanamuwajibisha Mwalimu yule pamoja na mwanafunzi. Wakati wezi wakubwa ni wao? Ndiyo maana nasema ni laana kwa taifa.
2020 ulichagua mbunge wewe? Ni jimbo gani walichagua mbunge? Hawa Magufuli aliowapitisha kwa kutumia dola ndiyo unaita uchaguzi?Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Hapakua na bunge pale palikuepo kikao tu Bwana anasemaYaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Kivipi? JIBU HOJAHuyu Idugunde anajitoa ufahamu tu
Usirudie makosa kwani unachagua nani??Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
ibirisi wa ccm hunajisi na kubaka chaguzi zote, wabunge wa ccm ni wabunge Haramu kwani si chaguo la wapiga kura ndiyo maana wawapo bungeni huongea ujinga ujinga mtupu ikiwemo kusema IGP ana haki ya kuwa na mabilioni Bank pasipo kuhoji kaypata wapi kwa mjibu wa mbunge kilaza Msukuma na pia yupo mbunge Abas Tarimba huyo ndiyo mbumbumbu na mpumbavu wa Dunia, aina ya wabunge hawa hupatikana kupitia Chaguzi feki haramu za kishetani2020 ulichagua mbunge wewe? Ni jimbo gani walichagua mbunge? Hawa Magufuli aliowapitisha kwa kutumia dola ndiyo unaita uchaguzi?
Hamna hoja hapo bali vihoja tuKivipi? JIBU HOJA
Hakuna mtanzania mwenye Akili Timanu aliwachagua wote walijipachika ubunge kienyeji kwa njia haramu za kishetani tu, tena wabunge wengine bila Aibu eti walijidai kupita bila kupigwa, Bunge la Tanzania limejaa vioja na vituko kupita mabunge yote DunianiBunge hili ya matokeo ya maamuzi ya Watanzania, bali ni matokeo ya mfumo dhalimu.
No Reforms no Election
Hawakuchaguliwa walijisimika ubunge kwa njia haramu za kishetaniUnaposema "tusirudie makosa"? Kwani hawa tuliwachagua?
Unatukoromea sisi wananchi kwa makosa tusiyoyatenda? Hizo lawama wapelekee CCM na akina Bashiru na Polepole na yule jamaa aliyelala kule Chato. Wanawajua walikowatoa Hawa Wabunge. Siyo wa kwetu sisi wananchi.Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Nasikitika sana kuona Watanzania wenye ufahamu wa mambo mnaamini kuwa kura zenu ndizo zinaamua nani awe mbunge! Kama kura yako ingekuwa na nguvu juu ya mbunge, mbunge angemuheshimu na kumuogopa mpiga kura wake; sasa jiukize; wabunge hawa wanawakilisha matakwa ya wapiga kura au chama chao?Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Kwanini mwandishi anajilaumu na kutulaumu kwa kuwachagua watu ambao hatukuwachagua?Hawakuchaguliwa walijisimika ubunge kwa njia haramu za kishetani