Acha kuota tatizo sio watanzania bali ni mifumoYaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Watanzania gani? sikiliza nenda kijijini kwemue kawaleze haya ndugu na jamaa zako au watumie text, humu hakuna wa kulecture tena mkuu, shida iko vijijininsio humu jf, vijijini raia hawako humuYaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Wamekosa teuzi hao, na dalili hawazioni za kupata .Inafurahisha kuona hadi wana ccm mmeamka
Unashauri nini mkuu,maana kwa kura wanasema tusijisumbue LAZIMA washinde eti wao ni chama cha kipunduapindua.Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Umeandika utadhani hujui siasa za Tanzania zinavyoendaga. Unachagua kwenye option zipi mkuu?Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Unataka tuchagua wabunge kwa mtindo gani? Lissu aliwahi kuwa Mbunge miaka kumi, unaweza kuniambia alifanya nini kwenye Jimbo lake? Heche huyo ni mganga njaa tu. Sitauliza aliwasaidia nini wana Tatime Vijjini.Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Dhalimu magu aendelee kuungua zaidi na moto huko ahera kwa uchafu aliofanya uchaguzi wa 2019/20.Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
Sio wajibu wa mbunge kupeleka maendeleo jimboni, huo ni wajibu wa serekali. Kama hujui wajibu wa mbunge aomba ueleweshwe, sio huu upotoshaji wa kitoto unaotaka kuleta hapa.Unataka tuchagua wabunge kwa mtindo gani? Lissu aliwahi kuwa Mbunge miaka kumi, unaweza kuniambia alifanya nini kwenye Jimbo lake? Heche huyo ni mganga njaa tu. Sitauliza aliwasaidia nini wana Tatime Vijjini.
Kwanini hulitavunjwa?Kesho Bunge halitavunjwa. Itaongezwa Muda. Kwa nini Bunge la Zanzibar imeongezeka Muda???
Hawajawahi kuchaguliwa huwa wanajipachika ubunge kienyeji kwa njia haramu za kishetaniwalichaguliwana na nani. Kwanza Bunge gani
Wabunge wa ibirisi ccm hawajui wajibu wao wowote wao kazi yao ni kugonga meza tu kumsifia Mama mkoloni kaburu toka ZanzibarSio wajibu wa mbunge kupeleka maendeleo jimboni, huo ni wajibu wa serekali. Kama hujui wajibu wa mbunge aomba ueleweshwe, sio huu upotoshaji wa kitoto unaotaka kuleta hapa.
Hakuna mwananchi alifanya makosa 2020. Kosa lilifanywa na mtu mmoja tu. Binafsi kwenye ubunge nitachagua wa chama chochote nitakayeona ni makini. Mtu kama Babutale au Shigongo hapaswi kupata kura ya mtu mwenye akili timamu.Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa.
Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.