KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Sijui kwanini huelewiLengo hapa ni kulazimisha kila mtu aandike wosia.
Kwamfano leo sheria ikiwepo wewe utaacha kuandika wosia?
Kama utauandika basi hakutakuwa na mgogoro ukifariki.
Kuna sheria inakataza kuuaKukiwa na sheria kuna mtu hataandika wosia?
Kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake hata kama ni mawazo mufilisi kama haya! Yaani baba amefariki na kuacha mjane na yatima. Halafu serikali inachukua nyumba na mashamba ya marehemu kwa kuwa tu hakuacha ameandika mirathi! Hiyo Serikali itakuwa na laana mpaka siku ya kiama!!Hii itasaidia kila mtu mwenye mali sehemu awe anatunza wosia na kuufanyia marekebisho mpaka siku anapofariki.
Wosia uandaliwe kwa kufuata matakwa ya kisheria na ikiwezekana kuwe na centralized electronic database ya kutunza wosia. Mahakama ndio itoe idhini ya kufungua akaunti ya marehemu kujua wosia unasemaje.
Itasaidia sana kuondoa migogoro inayofuatia baada ya mtu kuaga dunia. Itaboresha mahusiano baina ya ndugu.
Serikali itakuwa imeongeza chanzo cha mapato ikiwa watu hawataandika wosia. Kimsingi faida kubwa zaidi kwa serikali ni uwepo wa mahusiano mazuri katika jamii baada ya misiba.
🤣🤣🤣Kuna sheria inakataza kuua
Watu hawaui?
Kwani sasa hivi serikali haina mali inazozimanage?Serikali ihodhi mali itazi'manage vipi?
Shauri survivors waliobaki warithi mali za ndugu yao..huo utaratibu tayari upo ss sijui lipi jipya
Mawazo mufilisi.🤣Kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake hata kama ni mawazo mufilisi kama haya! Yaani baba amefariki na kuacha mjane na yatima. Halafu serikali inachukua nyumba na mashamba ya marehemu kwa kuwa tu hakuacha ameandika mirathi! Hiyo Serikali itakuwa na laana mpaka siku ya kiama!!
Ina manage unclaimmed assets za marehemu long timeKwani sasa hivi serikali haina mali inazozimanage?
Kama umenisoma vizuri dhamira hapa wala sio serikali ichukue mali bali serikali itengeneze mazingira ya kulazimisha kila mtu aandike wosia. Hilo likifanyika migogoro itapungua kwenye jamii ikiwa mtu amefariki.Ina manage unclaimmed assets za marehemu long time
Ila hii ndugu wa marehemu wapo afu inahodhi mali hata we unaona ni sawa?. Au we dhulumat
Mbona suala hilo kugeuka motive for murder huliongelei?Kama umenisoma vizuri dhamira hapa wala sio serikali ichukue mali bali serikali itengeneze mazingira ya kulazimisha kila mtu aandike wosia. Hilo likifanyika migogoro itapungua kwenye jamii ikiwa mtu amefariki.
Uislamu umeelekeza vizuri sana kuhusu Mirathi usilete hoja ambazo hazina mashikoHii itasaidia kila mtu mwenye mali sehemu awe anatunza wosia na kuufanyia marekebisho mpaka siku anapofariki.
Wosia uandaliwe kwa kufuata matakwa ya kisheria na ikiwezekana kuwe na centralized electronic database ya kutunza wosia. Mahakama ndio itoe idhini ya kufungua akaunti ya marehemu kujua wosia unasemaje.
Itasaidia sana kuondoa migogoro inayofuatia baada ya mtu kuaga dunia. Itaboresha mahusiano baina ya ndugu.
Serikali itakuwa imeongeza chanzo cha mapato ikiwa watu hawataandika wosia. Kimsingi faida kubwa zaidi kwa serikali ni uwepo wa mahusiano mazuri katika jamii baada ya misiba.
Nimeliongelea sehemu post za nyuma. Mfumo ninaopendekeza ni kuwe na centralized electronic database ambapo kila mtu anafungua online account na anaandika wosia katika template ambayo imeandaliwa kwa mujibu wa sheria.Mbona suala hilo kugeuka motive for murder huliongelei?
Unadhani ni kwanini hadi sasa hio sio sheria?!
Ingekuwa hilo ni kweli wala kusingekuwa na haya mapambano yanayoendelea katikati ya waislamu baada ya wazee kufariki.Uislamu umeelekeza vizuri sana kuhusu Mirathi usilete hoja ambazo hazina mashiko
Mleta mada atauwa hakufanya tafiti ya kutosha na usahau hiliHatuko nyuma kiasi hicho. Waafrika wengi wanataratibu za kimila- labda kama wewe unazipiga vita mila za kabila yako.
TafutaHaujui tu yanayoendelea mtu akifa ghafla , hoja ya mtoa mada ipo Sawa kabisa , taratibu za kimila Kwa sasa hazina nguvu, Mkono wa serikali ndo utakaotiisha , watu Wanauana Sana .... Wosia unatakiwa uwe updated kila mwaka
Electronic for whoNimeliongelea sehemu post za nyuma. Mfumo ninaopendekeza ni kuwe na centralized electronic database ambapo kila mtu anafungua online account na anaandika wosia katika template ambayo imeandaliwa kwa mujibu wa sheria.
Hakuna mtu atafahamu kuhusu kilichoandikwa isipokuwa muandikaji. Labda yeye ndio awaambie watu. Ikitokea amefariki basi taratibu za kimahakama zinafuata ili kufungua na kusoma wosia huo na kuelekeza utekelezaji.
Sawasawa mkuu. Asante kwa mchango wako.Electronic for who
Wabongo watahonga kujua na mtauwawa sana
Doc confidential za Serikali ziko mitandaoni sembuse wosia?!
Hata nchi zilizoendelea hakuna hicho kitu
Acha uzwazwaHii itasaidia kila mtu mwenye mali sehemu awe anatunza wosia na kuufanyia marekebisho mpaka siku anapofariki.