Tetesi: Bunge Live: Wanataka kujikosha ili Nape pekee aonekane ndiye aliyewasaliti wananchi

Tetesi: Bunge Live: Wanataka kujikosha ili Nape pekee aonekane ndiye aliyewasaliti wananchi

Kuna mkakati unafanywa ukiwahusisha viongozi wa CCM kumshawishi Rais aruhusu bunge live, sababu wanazojenga ni kuwa wananchi hawawaoni wala kuwasikia wawakilishi wao wanapo elezea mazuri yanayofanywa na Rais wao mpenzi wawapo bungeni.

Kinachotafutwa ni jinsi gani watajitoa katika hili bila kumuathiri Rais ambaye ndiye aliagiza kufutwa kwa bunge live.

Mkakati uliopo ni kum brand Nape kuwa ndiyo alikuwa tatizo, itaandaliwa press conference ambapo Rais atatangaza kuwa amepokea maombi mbalimbali kutoka kwa wananchi na amekubali kurushwa kwa bunge live, credit zote zitaenda kwake na maandamano ya kumpongeza yataandaliwa huku Nape akionekana kama msaliti wa wananchi.
Umefikiria mbali sana. Hili halina ubishi kabisa, na kupitia wewe, nimshukuru sana Mungu kwa kuwapa watanzania uelewa wa kiwango hiki.

Ni nani hajui kuwa Magufuli ndiye aliyeagiza bunge lizimwe? Ni nani ambye hajui hili?

Nimeona pia leo kuna kifaru kinazunguka kulinda ukuta wetu pale Mererani. Nikacheka kwa chinichini huku nikijiuliza, hivi ni nani amemloga Mhe. Rais hadi aone ni tija zaidi kulinda ukuta badala ya kuleta wazi mikataba na kuruhusu hesabu za madini zikaguliwe na ofisi ya CAG?

Anyway, wasisahau kuwa kuna kufa pia
 
Ukubwa ni relative.

Kile unachodhani kikubwa kuna mwingine anadhani ni kidogo.

Hoja ya kusema kujiamulia au hapana ameishaijibu Nape katika mahojiano CLOUDS.

Sasa kama hukubali alichokisema hilo ni tatizo lako.

Ndio maana nimesema, mtu mwenye akili timamu anajitokeza na kusema ni yeye ameua halafu wewe unakataa na kudai sio yeye.
Mkuu achana na interview ya nape mi nimekuuliza wewe kwa heshima na taadhima na naomba nilirudie swali langu,je waziri wa habari anaweza zuia bunge lisionyeshwe live bila kuwa na baraka/maelekezo ya Mwenyekiti wa baraza la mawaziri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe unakataa anachokisema muhusika ambaye kwa sasa hayupo hata serikali ambapo tungejenga hoja kuwa analinda kibarua chake.

Kwani kuna sheria ambayo inasema ni Rais au kikao cha baraza la Mawaziri ndicho kitazuia bunge live?

Nimesema dhana ya ukubwa au umuhimu wa bunge live ni relative.

Hujajiuliza kuwa inawezekana Nape ndiye aliyepeleka wazo hilo kwenye kikao cha baraza la Mawaziri hata kama kilifanyika.

Hoja inayojengwa hapa ni kuwa ameambiwa aende kwenye media ni kusema ni yeye aliyezuia bunge live. Huyu huyu Nape ambaye tunaaminishwa kuwa hapatani na Rais.
 
Nini maana na tofauti ya "soft money" na "hard cash? " ndugu

Kumbuka mkutano wa members wa JF ni wa kutoka kada zote za maisha na elimu...

Ni vyema tukatumia lugha rahisi na kueleweka kwa wepesi ili upate wachangiaji wengi (hususani wa kutoka mtaa wa Lumumba & Mnazimmoja).....
"Tutumie pesa za mtandaoni kama mpesa-,Tigo pesa nk ktk kununua na kuuza"
 
Sasa wewe unakataa anachokisema muhusika ambaye kwa sasa hayupo hata serikali ambapo tungejenga hoja kuwa analinda kibarua chake.

Kwani kuna sheria ambayo inasema ni Rais au kikao cha baraza la Mawaziri ndicho kitazuia bunge live?

Nimesema dhana ya ukubwa au umuhimu wa bunge live ni relative.

Hujajiuliza kuwa inawezekana Nape ndiye aliyepeleka wazo hilo kwenye kikao cha baraza la Mawaziri hata kama kilifanyika.

Hoja inayojengwa hapa ni kuwa ameambiwa aende kwenye media ni kusema ni yeye aliyezuia bunge live. Huyu huyu Nape ambaye tunaaminishwa kuwa hapatani na Rais.
Naona swali limeshindikana kujibu,nauliza mengine unajibu mengine.Haya uwe na wikiendi njema mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba waziri anaweza kujiamulia jambo kubwa kama lile bila kuwa na baraka za baraza na Rais?,au unataka kusemaje mkuu,nape aliamka tu asubuhi moja akaamua kusitisha urushwaji live wa bunge sio?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia kubwa ya Watanzania hawana uelewa mpana hivyo wataamini kwamva waziri ndo aliamua hivyo na sifa na pambio zitakua kwake bwana "of coursee..people used to die inn thee..eehh in theee raakeee""
 
Hahaha siumeona hapa bwana msemajiukweli anajiumauma,nchi hii ukiwa raisi unakuwa kama mungu,hukosei wala hukoselewi na lawama zote wanabeba wachini yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Tutumie pesa za mtandaoni kama mpesa-,Tigo pesa nk ktk kununua na kuuza"

U Bashite nini mkubwa na umeamua kuja kwa mtindo na namna nyingine?

Si unakumbuka few past days ago, alikuja na wazo kuwa wana DSM wote muuze na kununua kila kitu kwa kutumia "bank credit cards?" na akaishia kupokea za uso za kutosha mpaka akatulia tuliiiii....?

Sasa naona labda ndiwe wewe huyohuyo na umeamua kuja na sell and buy through "soft money" or "hard cash"

What I can say for now is that, this is almost impractical, at least not for now until some checks and balances are put online.....

And it seemingly kuwa, hutambui ya kwamba more than 75% ya Watanzania wanaishi vijijini japo wengi wanamiliki simu za kawaida za kichina na wanachojua wao ni kupokea tu hiyo simu kwa sbb hata kuweka airtime (voucher) ni mara moja kwa mwezi tena kwa kuomba....!!

Leo huyu maskini umwambie akipata 500 ili anunue mchicha ama bamia sokoni aanze kumtafuta wakala wa mobile money aweke "jero" ili apate anachokitaka??

Kwa hiyo usiseme tu kwa kudhani kuwa Tanzania hii ni DSM.....
 
Hujaelewa kilichoandikwa, anasema kunaundwa mkakati wa kuonyesha kwamba aliyezuiwa bunge Live sio Magufuli bali ni Nape. Na zitapigwa propaganda nyingi kumsafisha rais, lakini ukweli ni kuwa aliyezuia hilo bunge live ni Magufuli kwani anajua serekali na wabunge wake wana uwezo mdogo, hivyo njia ya kubaki salama ilikuwa kuzuia bunge live.
Mjinga alafu mbishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Nape ameambiwa aende kwenye media na kusema kuwa yeye ndiye alikuwa tatizo!

Yaani mtu anasema mimi ndiye niliua halafu mtu mwingine anajitokeza na kusema huyu anayesema aliua wanataka kum-brand kuwa aliua wakati muuwaji ni mtu mwingine!

Hizi ni fikra za kijinga ambazo huyo mjinga hajui kama ni mjinga.

Dhana ya kusema amewasaliti wananchi ni relative.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Inapokuja mada za kuporomoka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola mnajificha kama mende kabatini. Kwenye ishu za umbea umbea mnakuwa kimbelembele kama kuku anayetaga. Wewe na baba yenu mtuambie kwa nini mnaua uchumi sio porojo.
 
Sasa hivi wataziachia mpaka zile local chanl,mfaidika mkubwa wa vyombo vya habari ni serikali na ndio maana kia siku wanaoneshwa wao hivyo walijificha ila hivi sasa na kampeni ndo zinaanza kila kitu ktkuw wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom