Huyo mtu amekuwa msemaji wa serikali wakujitolea some time anaongeaga ujinga mpaka MTU unaunga mkono kuwa MTU mweusi ni toleo la mwisho ktk uumbaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hivi Magufuli ndiye aliyepiga marufuku bunge live, huyo Nape ni mfamaji fullstop.
My friend, Is your level of inteligence dimishing?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio maana nimesema siyo wewe ni pombe umeanza kuandika kinyumenyume, soma ulichoandika au ulikuwa unamaanisha,Remember. You can't have your cake and eat it!
Umefikiria mbali sana. Hili halina ubishi kabisa, na kupitia wewe, nimshukuru sana Mungu kwa kuwapa watanzania uelewa wa kiwango hiki.Kuna mkakati unafanywa ukiwahusisha viongozi wa CCM kumshawishi Rais aruhusu bunge live, sababu wanazojenga ni kuwa wananchi hawawaoni wala kuwasikia wawakilishi wao wanapo elezea mazuri yanayofanywa na Rais wao mpenzi wawapo bungeni.
Kinachotafutwa ni jinsi gani watajitoa katika hili bila kumuathiri Rais ambaye ndiye aliagiza kufutwa kwa bunge live.
Mkakati uliopo ni kum brand Nape kuwa ndiyo alikuwa tatizo, itaandaliwa press conference ambapo Rais atatangaza kuwa amepokea maombi mbalimbali kutoka kwa wananchi na amekubali kurushwa kwa bunge live, credit zote zitaenda kwake na maandamano ya kumpongeza yataandaliwa huku Nape akionekana kama msaliti wa wananchi.
Mkuu achana na interview ya nape mi nimekuuliza wewe kwa heshima na taadhima na naomba nilirudie swali langu,je waziri wa habari anaweza zuia bunge lisionyeshwe live bila kuwa na baraka/maelekezo ya Mwenyekiti wa baraza la mawaziri?Ukubwa ni relative.
Kile unachodhani kikubwa kuna mwingine anadhani ni kidogo.
Hoja ya kusema kujiamulia au hapana ameishaijibu Nape katika mahojiano CLOUDS.
Sasa kama hukubali alichokisema hilo ni tatizo lako.
Ndio maana nimesema, mtu mwenye akili timamu anajitokeza na kusema ni yeye ameua halafu wewe unakataa na kudai sio yeye.
Mjinga ni wew na haujui kama ni mjinga.Wewe ukivuta bange ndio huandika kama nilivyoandika? Nipe uzoefu wako zaidi.
Ndio maana nimesema unaweza kuwa mjinga lakini hujui kama ni mjinga!
"Kwa kuwa huna maono"Ndoto za alinacha
Sasa wewe unakataa anachokisema muhusika ambaye kwa sasa hayupo hata serikali ambapo tungejenga hoja kuwa analinda kibarua chake.Mkuu achana na interview ya nape mi nimekuuliza wewe kwa heshima na taadhima na naomba nilirudie swali langu,je waziri wa habari anaweza zuia bunge lisionyeshwe live bila kuwa na baraka/maelekezo ya Mwenyekiti wa baraza la mawaziri?
Sent using Jamii Forums mobile app
"Tutumie pesa za mtandaoni kama mpesa-,Tigo pesa nk ktk kununua na kuuza"Nini maana na tofauti ya "soft money" na "hard cash? " ndugu
Kumbuka mkutano wa members wa JF ni wa kutoka kada zote za maisha na elimu...
Ni vyema tukatumia lugha rahisi na kueleweka kwa wepesi ili upate wachangiaji wengi (hususani wa kutoka mtaa wa Lumumba & Mnazimmoja).....
Naona swali limeshindikana kujibu,nauliza mengine unajibu mengine.Haya uwe na wikiendi njema mkuu.Sasa wewe unakataa anachokisema muhusika ambaye kwa sasa hayupo hata serikali ambapo tungejenga hoja kuwa analinda kibarua chake.
Kwani kuna sheria ambayo inasema ni Rais au kikao cha baraza la Mawaziri ndicho kitazuia bunge live?
Nimesema dhana ya ukubwa au umuhimu wa bunge live ni relative.
Hujajiuliza kuwa inawezekana Nape ndiye aliyepeleka wazo hilo kwenye kikao cha baraza la Mawaziri hata kama kilifanyika.
Hoja inayojengwa hapa ni kuwa ameambiwa aende kwenye media ni kusema ni yeye aliyezuia bunge live. Huyu huyu Nape ambaye tunaaminishwa kuwa hapatani na Rais.
Asilimia kubwa ya Watanzania hawana uelewa mpana hivyo wataamini kwamva waziri ndo aliamua hivyo na sifa na pambio zitakua kwake bwana "of coursee..people used to die inn thee..eehh in theee raakeee""Kwamba waziri anaweza kujiamulia jambo kubwa kama lile bila kuwa na baraka za baraza na Rais?,au unataka kusemaje mkuu,nape aliamka tu asubuhi moja akaamua kusitisha urushwaji live wa bunge sio?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha siumeona hapa bwana msemajiukweli anajiumauma,nchi hii ukiwa raisi unakuwa kama mungu,hukosei wala hukoselewi na lawama zote wanabeba wachini yako.Asilimia kubwa ya Watanzania hawana uelewa mpana hivyo wataamini kwamva waziri ndo aliamua hivyo na sifa na pambio zitakua kwake bwana "of coursee..people used to die inn thee..eehh in theee raakeee""
"Tutumie pesa za mtandaoni kama mpesa-,Tigo pesa nk ktk kununua na kuuza"
Mjinga alafu mbishiHujaelewa kilichoandikwa, anasema kunaundwa mkakati wa kuonyesha kwamba aliyezuiwa bunge Live sio Magufuli bali ni Nape. Na zitapigwa propaganda nyingi kumsafisha rais, lakini ukweli ni kuwa aliyezuia hilo bunge live ni Magufuli kwani anajua serekali na wabunge wake wana uwezo mdogo, hivyo njia ya kubaki salama ilikuwa kuzuia bunge live.
Inapokuja mada za kuporomoka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola mnajificha kama mende kabatini. Kwenye ishu za umbea umbea mnakuwa kimbelembele kama kuku anayetaga. Wewe na baba yenu mtuambie kwa nini mnaua uchumi sio porojo.Kwa hiyo Nape ameambiwa aende kwenye media na kusema kuwa yeye ndiye alikuwa tatizo!
Yaani mtu anasema mimi ndiye niliua halafu mtu mwingine anajitokeza na kusema huyu anayesema aliua wanataka kum-brand kuwa aliua wakati muuwaji ni mtu mwingine!
Hizi ni fikra za kijinga ambazo huyo mjinga hajui kama ni mjinga.
Dhana ya kusema amewasaliti wananchi ni relative.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Amekula buku saba ya mabeberu wa lumumbaAnajua nilichomaanisha ila anajifanya hajui, ndio maana nimemwambia aache bange.
huyo mchumia tumbo hawezi kuelewa , amefunikwa ndani ya chungu cheusi mithili ya nyoka wa ugangaPunguza bange soma nilichoandika.