Bunge liwajadili mabeberu na vibaraka wao wanaojaribu kuivuruga Tanzania!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Nichukue fursa hii kumpongeza Mhe.Waziri Mkuu Kijana Mwigulu Nchemba kwa kuanza kuanika japo kwa uchache kilichopo nyuma ya pazia.
Ni muda mrefu humu tumesema juu ya mwenendo usio na afya kwa Taifa unaooneshwa na mabeberu au waite mabwana waliowatumikisha wabara na hata kuwauza utumwani .
Mabeberu haya hayachoki...yaani baada ya Waasisi wetu kuwapigia kelele waliona aibu na kutupatia Uhiru lakini kutokana na ukwasi waliojimilikisha na mikataba ya kihuni waliowasainisha kina chifu Mangungo wameendelea kuzengea rasilimali zetu.

Nyakati zile waliwasumbua machief wetu sana na hatimaye kina chief Mangungo waliona kwa usalama wa watu basi isiwe tabu japo wawape mikataba ili uhuru na utu utamalaki kwenye jamii yetu..najua tunamcheka sana Chief Mangungo wa Msovero lakini sina shaka alikuwa na mizania chanya kwa wakati wake ...watakuwa walimsumbua na kumtisha na kumhujumu vya kutosha hadi ikambidi afikie muafaka wa kile alichokifikia wakati huo.
Leo hii hawa mabeberu bado wapo na sisi tu...wanataka rasilimali zetu kiulaini tu ,kila kiongozi anayeingia anatishwa,anahujumiwa na anadhihakiwa ili tu waendeleze lengo lao ovu la kuzipata rasilimali kwa faida yao huku wakituona hatuna akili.
Ifikie mahali tuseme "funaku" na tuseme haikubaliki ..
Kama unataka rasilimali zetu njoo mezani na tukubaliane kupata pamoja.
Kamwe kwa sasa tusikubali kuwa wanyonge japo vitisho,dhihaka,mikwara na hujuma inawakuta viongozi wetu.
Hili haliwezi kusimamiwa na mmoja tu bali sisi sote kama umma wa watanzania.
Umma ukielewa na kusimama na viongozi tutashinda.
Uranium tunayo ya kutosha na inahitajika ...shida ni nini kwa mabeberu haya kuja mezani na mikataba itakayowanufaisha lakini na kuinua hali ya kiuchumi na kijamii??Uingozi wetu na hata mimi ningependa kuona Uongezaji thamani wa rasilimali zetu unawanufaisha watanzania na kuwatoa katika hali mbaya ya umasikini japo kwa kiasi tu.
Hakika umefika wakati wa mtetea kupambana na mwewe kwa njia yoyote ile vifaranga vipone.
Ni dhahiri mtetea hana mabavu ya kumzuia Mwewe lakini akishirikiana na Mbweha au yoyote yule ambaye ni mbabe kwa Mwewe atashinda tu.
Kwenu ninyi vibaraka waroho wa mali na madaraka mlichopewa kinatosha sasa acheni kwani mlinda nchi na mzalendo keshachomoa jambia tayari kwa awamu nyingine ya mapambano...anataraji kushinda na anataraji kuacha alama ya mapamnano dhidi adui wa kudumu.
Adui huyu kamwe hatoacha kuwa adui hivyo lazima irithishwe kwa vizazi vyote vitakavyokuja kuwa yupo adui wa kudumu Mwewe na siku zote atakuwa adui na inatakiwa tupambane naye hadi aache tabia kula vifaranga ...ni jaribio gumu kweli lakini linawezekana...kwani ukifuatilia visa vya Mwewe kula kuku kwa sasa vimepungua sana...sasa hivi kuku wanafugwa kwenye shelters na vifaranga vinaweza kusafuri salama ndani ya Tenga,au vikakuzwa salama kwenye incubators na hii inawafanya Mwewe wapungue kwa kukosa chakula chao...huku familia ya kuku ikiongezeka sana duniani.

TUPO NJIA SAHIHI katika kupambana na MWEWE na hata DUBU pia ...tuendelee kutumia akili zetu vizuri tu kwani hata huko kwa Mwewe na Dubu kulikuwa na matatizo haya yakaisha.

Pongezi sana kwa watumishi wa maalumu wa Umma kwa kupambana na makatili hawa...na muendelee bila woga wala huruma wala haya !
Kuna nyakati Mwewe anataka kuchukua kifaranga na Dubu anataka kumchukua mtetea ...kabla ya hapo lazima DUBU aparurane na Mwewe...na ndio maana halisi ya Mwalimu Nyerere kusema sisi Tanzania tunawataka Wote MWEWE NA DUBU wawe marafiki zetu yaani wasichukue vifaranga bali tunaweza kula mayai kwa utatu kamilifu...siku zote tusimame hivyo na watuelewe tumesimama hivyo kwa gharama yoyote.

BUNGE letu ambacho ni kisemeo cha wananchi halina budi kuja na kauli kali dhidi ya mabeberu na vibaraka wao.
Bunge liainishe kuwa tumewatambua kwa sura zao rasmi na zisizo rasmi na liweke azimio kali dhidi ya kauli za kuingilia uhuru wa Tanzania yaani sio kikaragosi cha bunge la ulaya kinasimama na kuropoka tu eti kulikuwa na "disputed election" wakati vyama 17 vimeshiriki uchaguzi na vikaridhia mchakato na matokeo.Ikibidi bunge letu liseme uovu wa mchakato wa kuwachagua hao wabunge wa bunge la ulaya na uovu wao wa kutumika na wasaliti au wafanyabiashara ili kufikia malengo yao.
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lina haki kamili na mamlaka kamili kuazimia na kusema kama lilivyo bunge lolote duniani...BUNGE liseme na liazimie vilivyo dhidi ya wahuni hawa wa ulaya na vibaraka wao hapa Tanzania.

PONGEZI KWAKO MHE.MWIGULU

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Hamna maji mnapoteza muda kujadili matajiri kwa matatizo ya vilaza wenu. Mababeru lini wamelaumu Tanzania kwa matatizo yao? Yaani sisi ni wajinga kiasi cha kutojitambua!!

Tatizo ni viongozi wabaya na mfumo.
 
Lianze kwanza kujadili walioua raia na watekaji kwanza, af ndo wawajadili hao mabeberu ambao mbajikomba kwao kila siku
 
mvua imeshanyesha na maji yanapatikana...tafuteni propaganda nyingine maana hii ya maji Mungu Mwenyewe keshaitatua kuonesha kuwa hayupo upande wenu.Yaani kila kiongozi akiingia madarakani anakuwa tatizo kwa miongo sita?
 
Lianze kwanza kujadili walioua raia na watekaji kwanza, af ndo wawajadili hao mabeberu ambao mbajikomba kwao kila siku
Wewe ni raia umekufa?unapost kutoka kuzimu?
 
Pia wasisahau lijadili namna gani ya kukomesha utekaji, uuwaji, mafisadi walambishwe pasi za moto na katiba mpya.
Nawasilisha
 
1. Wimbo wa uranium unaimbwa sana lakini uranium inamnufaisha vipi mtanganyika?
2. Wanataka rasilimali zetu. Kama mnaishidwa ku zi utilize vizuri na kuzi allocate kwa manufaa ya wote kwanini mnazikatalia?

Vyote hivyo kama havimnufaishi mtanganyika inakuwa kama pini ya dhahabu kwenye pia ya nguruwe.

Sasa turudi kwenye swala la bunge kujadili.
1. Ni bunge hilihili linalopokea hati za dharula zinazopitisha mikataba ya ovyo au bunge jingine?

MAONI.

kama limejirekebisha basi liitishwe na lijadili na kuelekeza serikali itathimini upya uhusiano wake na nchi za mabeberu ambao Samia anasema wanatoa vihela vichache
 
siku hao mnaowasingizia kila siku wakija kuwachapa ntacheka na kufurahi sana, missile moja tu mtapotezana wote na kuanza kuongea lugha zisizoeleweka ...
 
Mwalimu Nyerere alitambua uwepo wa rasilimali adhimu kipindi hiko na alijua hatuwezi kuzitumia kwa manufaa kwa kipindi chake..akaweka mkakati wa namna bora ya kuzitumia .
Hatukuwa na fedha au weledi wa kuzitumia kwa kipindi hiko lakini alijua utakuja wakati wa kuzitumia na alijua kuwa

Katika dunia hii na hata iliyopita huwezi kuogopa mabomu brother...kama unatetea maslahi sahihi ...nchi ilijua kuna nchi zina mabomu kwa ajili ya kutisha ,kuadhibu,kuhujumu,kuvamia ,kunyanganya nchi nyingine.
inajulikana wanazo zana kubwa kubwa za kivita na uwezo wa kizutumia muda wowote na ndio maana nasi pia tukawa na JWTZ na vyombo vingine kuulinda UHURU KAMILI wa nchi.
 
kwa nini muslim wa tanzagiza mnakuwa opportunist na parasitic sana? mwalimu Nyerere kila siku mnamtukana na kumdhalilisha kila mahali na kila mpatapo nafasi lkn pale ambapo mnaona mnanufaika naye mnaanza kumtumia na kumnukuu kila mahali, why? , pure evil ...
 
Nichukue fursa hii kumpongeza Mhe.Waziri Mkuu Kijana Mwigulu Nchemba kwa kuanza kuanika japo kwa uchache kilichopo nyuma ya pazia.
Ni muda mrefu humu tumesema juu ya mwenendo usio na afya kwa Taifa unaooneshwa na mabeberu au waite mabwana waliowatumikisha wabara na hata kuwauza utumwani .
Mabeberu haya hayachoki...yaani baada ya Waasisi wetu kuwapigia kelele waliona aibu na kutupatia Uhiru lakini kutokana na ukwasi waliojimilikisha na mikataba ya kihuni waliowasainisha kina chifu Mangungo wameendelea kuzengea rasilimali zetu.

Nyakati zile waliwasumbua machief wetu sana na hatimaye kina chief Mangungo waliona kwa usalama wa watu basi isiwe tabu japo wawape mikataba ili uhuru na utu utamalaki kwenye jamii yetu..najua tunamcheka sana Chief Mangungo wa Msovero lakini sina shaka alikuwa na mizania chanya kwa wakati wake ...watakuwa walimsumbua na kumtisha na kumhujumu vya kutosha hadi ikambidi afikie muafaka wa kile alichokifikia wakati huo.
Leo hii hawa mabeberu bado wapo na sisi tu...wanataka rasilimali zetu kiulaini tu ,kila kiongozi anayeingia anatishwa,anahujumiwa na anadhihakiwa ili tu waendeleze lengo lao ovu la kuzipata rasilimali kwa faida yao huku wakituona hatuna akili.
Ifikie mahali tuseme "funaku" na tuseme haikubaliki ..
Kama unataka rasilimali zetu njoo mezani na tukubaliane kupata pamoja.
Kamwe kwa sasa tusikubali kuwa wanyonge japo vitisho,dhihaka,mikwara na hujuma inawakuta viongozi wetu.
Hili haliwezi kusimamiwa na mmoja tu bali sisi sote kama umma wa watanzania.
Umma ukielewa na kusimama na viongozi tutashinda.
Uranium tunayo ya kutosha na inahitajika ...shida ni nini kwa mabeberu haya kuja mezani na mikataba itakayowanufaisha lakini na kuinua hali ya kiuchumi na kijamii??Uingozi wetu na hata mimi ningependa kuona Uongezaji thamani wa rasilimali zetu unawanufaisha watanzania na kuwatoa katika hali mbaya ya umasikini japo kwa kiasi tu.
Hakika umefika wakati wa mtetea kupambana na mwewe kwa njia yoyote ile vifaranga vipone.
Ni dhahiri mtetea hana mabavu ya kumzuia Mwewe lakini akishirikiana na Mbweha au yoyote yule ambaye ni mbabe kwa Mwewe atashinda tu.
Kwenu ninyi vibaraka waroho wa mali na madaraka mlichopewa kinatosha sasa acheni kwani mlinda nchi na mzalendo keshachomoa jambia tayari kwa awamu nyingine ya mapambano...anataraji kushinda na anataraji kuacha alama ya mapamnano dhidi adui wa kudumu.
Adui huyu kamwe hatoacha kuwa adui hivyo lazima irithishwe kwa vizazi vyote vitakavyokuja kuwa yupo adui wa kudumu Mwewe na siku zote atakuwa adui na inatakiwa tupambane naye hadi aache tabia kula vifaranga ...ni jaribio gumu kweli lakini linawezekana...kwani ukifuatilia visa vya Mwewe kula kuku kwa sasa vimepungua sana...sasa hivi kuku wanafugwa kwenye shelters na vifaranga vinaweza kusafuri salama ndani ya Tenga,au vikakuzwa salama kwenye incubators na hii inawafanya Mwewe wapungue kwa kukosa chakula chao...huku familia ya kuku ikiongezeka sana duniani.

TUPO NJIA SAHIHI katika kupambana na MWEWE na hata DUBU pia ...tuendelee kutumia akili zetu vizuri tu kwani hata huko kwa Mwewe na Dubu kulikuwa na matatizo haya yakaisha.

Pongezi sana kwa watumishi wa maalumu wa Umma kwa kupambana na makatili hawa...na muendelee bila woga wala huruma wala haya !
Kuna nyakati Mwewe anataka kuchukua kifaranga na Dubu anataka kumchukua mtetea ...kabla ya hapo lazima DUBU aparurane na Mwewe...na ndio maana halisi ya Mwalimu Nyerere kusema sisi Tanzania tunawataka Wote MWEWE NA DUBU wawe marafiki zetu yaani wasichukue vifaranga bali tunaweza kula mayai kwa utatu kamilifu...siku zote tusimame hivyo na watuelewe tumesimama hivyo kwa gharama yoyote.

BUNGE letu ambacho ni kisemeo cha wananchi halina budi kuja na kauli kali dhidi ya mabeberu na vibaraka wao.
Bunge liainishe kuwa tumewatambua kwa sura zao rasmi na zisizo rasmi na liweke azimio kali dhidi ya kauli za kuingilia uhuru wa Tanzania yaani sio kikaragosi cha bunge la ulaya kinasimama na kuropoka tu eti kulikuwa na "disputed election" wakati vyama 17 vimeshiriki uchaguzi na vikaridhia mchakato na matokeo.Ikibidi bunge letu liseme uovu wa mchakato wa kuwachagua hao wabunge wa bunge la ulaya na uovu wao wa kutumika na wasaliti au wafanyabiashara ili kufikia malengo yao.
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lina haki kamili na mamlaka kamili kuazimia na kusema kama lilivyo bunge lolote duniani...BUNGE liseme na liazimie vilivyo dhidi ya wahuni hawa wa ulaya na vibaraka wao hapa Tanzania.

PONGEZI KWAKO MHE.MWIGULU

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
We kweli ni ngisi wa kwenye bwawa la mavi
 
kwa nini muslim wa tanzagiza mnakuwa opportunist na parasitic sana? mwalimu Nyerere kila siku mnamtukana na kumdhalilisha kila mahali na kila mpatapo nafasi lkn pale ambapo mnaona mnanufaika naye mnaanza kumtumia na kumnukuu kila mahali, why? , pure evil ...
Nani kamdhalilisha nyerere zaidi ya ninyi mnaonunuliwa na mliofika bei
 
muslims wenzako, labda kama tu umepitwa au you simply play dumb ...
Mkiingia JF muwe mnasoma kwa kina na kuwajua members wake kabla ya kukurupuka tu.
Dundrehead
 
Naomba unitajie kwa majina hao unawapa lawama yani be specifeid
 
Back
Top Bottom