BUNGE LIWEKE KANUNI-Mchango wa Mbunge utokane na vikao halali vya wananchi ngazi ya chini

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Ni ukweli usiopingika kuwa mawazo na maoni halali yanayotolewa kupitia mfumo halali wa kukusanya maoni na mapendekezo ya wananchi kupitia mikutano yao ya vijiji,kata na mabaraza ya madiwani hayapati fursa stahiki kulifikia bunge kupitia wawakilishi hawa wa wananchi.

Badala yake bungeni zinaingizwa agenda za maslahi ya wabunge kama individuals.

Hivyo ni vyema ukawepo utaratibu wa kuhakikisha kuwa asilimia angalau 70 hivi ya mchango wa mbunge bungeni uwe unatokana na maoni yaliyotoka kwa wananchi kulitia vikao ngazi za chini.
Hii ndio uwakilishi halali wa wananchi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Mkuu, hilo linawezekana sana, lakini kwa mfumo tofauti na huu wa sasa.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa mawazo na maoni halali yanayotolewa kupitia mfumo halali wa kukusanya maoni na mapendekezo ya wananchi kupitia mikutano yao ya vijiji,kata na mabaraza ya madiwani hayapati fursa stahiki kulifikia bunge kupitia wawakilishi hawa wa wananchi.

Badala yake bungeni zinaingizwa agenda za maslahi ya wabunge kama individuals.

Hivyo ni vyema ukawepo utaratibu wa kuhakikisha kuwa asilimia angalau 70 hivi ya mchango wa mbunge bungeni uwe unatokana na maoni yaliyotoka kwa wananchi kulitia vikao ngazi za chini.
Hii ndio uwakilishi halali wa wananchi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kwa hiyo wananchi wakitaka uwanja wa mpira kabla ya barabara, ajenda yao ipelekwe bungeni.
 
Jinagalao kwelikweli. Unaamini kabisa kuna wananchi wanakaa chini wanamtuma mbunge kaseme mama anaupiga mwingi? Kwamba kaseme kuwekwe kipimo chakupimia wabunge magovi? Kwamba kaseme wabunge wanahitaji namba special za magari? Jinga lao.
 
ndio ....kupitia vikao vya wilaya na mikoa ndipo mbunge abebe.
Zaidi ya hapo Hoja ya mbunge inatakiwa iwe binafsi
 
Jinagalao kwelikweli. Unaamini kabisa kuna wananchi wanakaa chini wanamtuma mbunge kaseme mama anaupiga mwingi? Kwamba kaseme kuwekwe kipimo chakupimia wabunge magovi? Kwamba kaseme wabunge wanahitaji namba special za magari? Jinga lao.
Umeielewa Mada?
 
Washindwe kukesha rainbow waje kuitisha vikao na nyie ambao hamuwaweki? Acheni uzwazwa
 
Back
Top Bottom