Pre GE2025 Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naunga mkono hoja hii
 
Majangili yote yapo ndani ya CCM
Watanzania tuna ujinga mtukufu, si unaona hata wew wajiita netanyau. Hapo hakun mtu atakueleza baya kuhusu israel ukamuelewa.

Anyway natak kusema, tuanze na sis wenyewe kujikosoa ndipo tukosoe wengine.

Hili bunge n matokeo ya usaliti na uninga wetu. Humu tunaponda tukifika vyumba vya kupiga kura tunaunga mkono.

#nasimama mwenyew
 
Hiyo ni kawaida kwa mabunge ya chama kimoja
 

Wataongea nini wakati wengi wao hawana akili?

Wanaongea tu hayo waliyoyakariri kabla hawajaingia ukumbini. Kuongea mambo muhimu kunahitaji uwe na akili angalao ya kiwango fulani, ambayo wengi wao hawajaifikia.
 
Njaa mbaya sanaaa..... tupambanie tu ugali wetu na familia zetu maana hapa hatuna wabunge.
 
Angalia kwanza mfumo wa chama tawala ulivoandaliwa
Maana wanaompa mama sifa wanatetea FURSA zao za kuwa kwenye nyazifa zaidi
Wanajikuta wanasahau kupeleka shida na kero za wananchi na kiwatetea wananchi zao
 
Sijawahi kusikia bunge la Kenya lilisema tunamshukuru Mheshimiwa Ruto kwa kutupa pesa ya kujenga shule, au Ruto akitajwa kwa jina lake pale mambo ya maendeleo yanapozungumzwa kwenye vikao na halaiki mbalimbali za maendeleo kutoka kwa wabunge au maseneta au wakuu wa majimbo na hata madiwani, huu ni utamaduni wa TZ tu ambao unaelekea kusiko, hata kwa M7 pamoja na kuwa madarakani kwa muda mrefu hausikii hizi ngonjera, kwa kifupi kuna tatizo hapa.
 
Yaani mkuu toka uchaguzi wa 2020 mpaka leo ulikuwa hujajuwa kama kwa sasa Tanzania hatuna bunge?
 
Hilo siyo bunge, ni vikao vya CCM, kwa hiyo Mambo Kama
hayo hayakwepeki
 
TANZANIA HAKUNA BUNGE KUNA VIKAO VYA CHAMA NDANI YA MAJENGO YA BUNGE
 
Mkuu kwanza nikupe kongole kwa kudiriki kusikiliza huo upuuzi uitwao bunge. Sisi wengine tulishalipuuza muda mrefu sana.

Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
 
Unakosa mambo mengi sana kwa kutokufuatilia Bunge letu. Nakushauri anza kufuatilia vikao vya bunge pale unapopata nafasi .
Yaani Mimi nifuatilie hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura? Washamba na wasiojua lolote ndio wana muda wa kufuatilia hao wahuni.
 
Matokeo ya Monoparty....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…