Pre GE2025 Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

Pre GE2025 Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani Mimi nifuatilie hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura? Washamba na wasiojua lolote ndio wana muda wa kufuatilia hao wahuni.
Ndio maana upo gizani kiakili maana huelewi hata kinachoendelea katika nchi hii.
 
unywaji wa visungura na na uvutaji sijui wa nini hicho unavutaga huko, na bunge wapi na wap🐒

kwanza utaelewa? labda uanze kujitegemea uache kuishi kwa wazazi na ni mtu mzima sasa 🐒
😂😂😂😂 Nimecheka kwa nguvu kinoma. Nilijua lazima🌈 ujitokeze kutema ghadhabu.
 
😂😂😂😂 Nimecheka kwa nguvu kinoma. Nilijua lazima🌈 ujitokeze kutema ghadhabu.
sasa mie ghadhab nazitoa wapi kwa wanachama laini zaidi ya maini-by chairman Taifa 🐒

na unaachaje kucheka na visungura vikiwa kichwani 🐒
 
Ndio maana upo gizani kiakili maana huelewi hata kinachoendelea katika nchi hii.
Yaani Mimi nisikilize huo uchafu?! Labda wale wanaomini maisha Yao ya naweza kusaidiwa na hilo bunge kibogoyo. Watu wa huko vijijini na wazee wanaosikiliza TBC tu ndio wana muda wa kusikiliza hilo bunge.
 
wewe hata ukiskiza au kufuatilia bunge hutaelewa chochote na wala si muhimu hata kidogo 🐒
 
Back
Top Bottom