Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Ha ha ha situmiki kama ww mkuu!! Na siko hapa kujaza server ndg. Mmenijua ? Ww na team yako au nani? Myopic thinking!!
Mm huwa nasadiki ktk ukweli tu. Hata ww ukileta hoja yenye mantiki na maslahi kwa Taifa nitakuunga mkono. Tusikae kisiasa/ Ki itikadi bila busara, utakuwa wa hovyo kupindukia.
Kama nimekuudhi nisamehe. Hapa ni kueleweshana si uwanja wa matusi wala ubabe!!
Sasa nani anatumika humu ndani we unavyodhani? coz ukisema kwamba kuna watu wanatumika na hao watakwambia na wewe umetumwa ama unatumika pia, uachekuropoka, kila mtu yuko kwa maslai ya Taifa, nakushangaa wewe unapoukataa ukweli, chamsingi uelewe kuwa kuna umuhimu wa wewe kuisoma vizuri katiba hii na uje na hoja za maana, hayo mambo mengine si mahala pake hapa.