Bunge zima wakiwemo wabunge wa CHADEMA na NCCR Mageuzi waimba "Tuna Imani na Magufuli"

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Magufuli ni chaguo la Mungu.

Bunge zima lilisimama wakiwemo wabunge wote na wageni wote na kuimba wimbo wa " Tuna Imani na Magufuli"

Bunge limewaomba wananchi wajitokeze mwezi Oktoba na kumchagua Dr. Magufuli na wabunge na madiwani wanaoendana na kasi ya Hapa Kazi Tu

Chanzo: Eatv

Maendeleo hayana vyama!
 
sio kweli usituone sisi mabwege ñyau wewe sio kama unamiliki TV peke yako...waliosimama ni wachache tu tena wengi wanawake wa Ccm kuna wabunge kibao walikaa akiwemo waziri mkuu
 
Reactions: PNC
Ucjal bwashee, hv punde tu atakuwa mfalme
 
Imani gani wale wanahofia njaa itakayowakuta kama baba yao ataondoka!!
Recall speech ya Mwalimu .
 
Watumishi,wafanya biashara na graduates wapo hoi mtaani huko.Kinachoendelea bungeni ni futuhi na kujipendekeza na nidhamu ya uoga na kutafuta kuteuliwa ktk vyeo mbalimbali.
 
Aisee!!??? 🤔 Sipati picha kama ingekuwa kweli jinsi ambavyo Lumumba mngeshangilia.
 
Lumumba hamnaga akili, yaani wewe tako umeshindwa kuelewa kwamba walikuwa wanamsanifu?
 
heee, bunge linafanya kampeni? haya ni maajabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…