Bunge zima wakiwemo wabunge wa CHADEMA na NCCR Mageuzi waimba "Tuna Imani na Magufuli"

Bunge ama kikao cha majungu na mipasho cha CCM...Tanzania kwa sasa haina Bunge.
 
Watu wenye akili zao timamu hawa siyo wale manabii wanaojitafunia kondoo wao na kupiga sadaka tu.
Your browser is not able to display this video.
 

Ukitaka kujua hiyo bajeti watu hawana hata mzuka nayo, pitia nyuzi zinazohusu hiyo bajeti hata kama ina wachangiaji. Hiyo ndio ujue kulazimisha kupendwa kuna shida yake. Waziri kaweka sifa nyingi kwa mtu akidhani atajenga ushawishi, matokeo yake watu wameona ni bajeti ya kiccm.
 
Hivi ni kwanini nguvu nyingi na hofu kubwa inatanda ccm wakifikiria akina Lissu na Mbowe ambao wamelala vitandani kwa kuumizwa na vibaraka wa kisiasa? Inafikirisha mno...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…