Akifutwa uanachama labda atabaki kuwa mbunge wa mahakamaπ€£Bunge haliwezi mfuta uanachama
Akili yako wewe ili ikae sawa usichanganye changanye mambo upimwe corona kwa kipimo kile cha China!Mbona chadema hawakupimwa akili kipindi kile ni mshenga wao wa kumleta lowasa?
Imeandikwa usimjaribu bwana MUNGU wako.Itakuwa imani yangu haba lakini nikiwa na imani thabiti hakuna kitakachotokea kumbuka hata yesu aliweza kuyafanya aliyoyafanya kutokana na imani yake thabiti.
Afu watu wanajadili kwa jazba na matusi.. au ndo chanjoDuu! kweli tozo za miamala na kodi ya majengo kupitia luku viimetuchanganya kupita kiasi, yaani hapa ndo great thinkers wa jf tupo ktk mjadala.......tunajadili hili. Hahahahaaaaaaa!
Kilikuwa cha rangi tofauti na viti vingine.
Alipokikataa kikatolewa nje.
Labda mkuu Pascal Mayalla kwa uzoefu wake kamatini anaweza kutupa elimu kama huu ulikuwa ni Uhalisia au Kijotijoti.
Mungu ni mwema wakati wote!
Na walimuambia kiti chako hicho umewekewa. Wakati kakiona. Ni kama kulikuwa na nguvu kubwa ya kumlazimisha akalie kiti.Kilikuwa cha rangi tofauti na viti vingine.
Alipokikataa kikatolewa nje.
Labda mkuu Pascal Mayalla kwa uzoefu wake kamatini anaweza kutupa elimu kama huu ulikuwa ni Uhalisia au Kijotijoti.
Mungu ni mwema wakati wote!
Mjinga wewe pimbi!Machale gani ujinga tupu,angekuwa na machale angeenda na kiti chake na maiki yake,
Unakataa nyama ya nguluwe unakubali kunywa mchuzi wake.
Fisi mla fisi
Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.Na walimuambia kiti chako hicho umewekewa. Wakati kakiona. Ni kama kulikuwa na nguvu kubwa ya kumlazimisha akalie kiti.
Na jamaa akawa anakomaa kwamba utaratibu umeshaandaliwa. Ikabidi Gwajima arudie tena anahitaji kiti kingine.
Lakini baada ya kiti akaambiwa asogelee maiki. Wakati maiki inaonekana na inafahamika kabisa akitaka kuongea angeitumia tu. Sasa kulikuwa na uharaka gani wa kumuambia mike yako hiyo hapo sogea.
πππ
Labda kilishawekewa mtego tayariNa kwanini kiti kitolewe nje kisiwekwe pale nyuma kilichotoka kile alichovuta???