Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
Imeandikwa " .....usimjaribu Bwana Mungu wako"
 
Gwajima ni deep state inside the deep state
 
Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
Kacheze na mamba, umkemee ukuache salama.
 
Kilikuwa cha rangi tofauti na viti vingine.

Alipokikataa kikatolewa nje.

Labda mkuu Pascal Mayalla kwa uzoefu wake kamatini anaweza kutupa elimu kama huu ulikuwa ni Uhalisia au Kijotijoti.

Mungu ni mwema wakati wote!
He is very right. Ya Kolimba bdo tuna frsh memory nayo. Alitoka humu a few days akafa kwa "sumu" at a slow pace.. Jadi ya CCM ni KUUA ana haki ya kuchukua tahadhali zote. Even if it were me, I would do the same.
 
Kwani Kolimba alihojiwa na kamati ya bunge?
 
Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
Maandiki yanasema watu wangu wanateketea kwa kukosa maarifa. Alichokifanya ameonyesha yeye ni shujaa na mwerevu wa maandiko.
 
Whatever the type of Kamati, it was composed of CCM members/rogues and by CCM policy is the elimination of opponents by death!
Mbona Lema ameshahojiwa mara kibao na hiyo kamati na bado yuko anadunda tu buheri wa afya huko ughaibuni
 
Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
Maaskofu wako akiwemo Bagonza na Mwamakula wanavaa barakoa madhabahuni kila siku.
 
Kilikuwa cha rangi tofauti na viti vingine.

Alipokikataa kikatolewa nje.

Labda mkuu Pascal Mayalla kwa uzoefu wake kamatini anaweza kutupa elimu kama huu ulikuwa ni Uhalisia au Kijotijoti.

Mungu ni mwema wakati wote!

Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo, Mungu wa Daniel, Meshaki na Abednego, Mungu wa Yusufu na Daudi
Mungu wa Gwajima, YohanaMbatizaji na Mama D πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ™
 
Ingekuwa ni wa upinzani angekuwa Segerea au Ukonga kwa kuikashifu serikali. Mnyika katamiwa ajieleze kwa kumwita rais mwongo. Huyu kaitwa kamati ya maadili kwa kumtuhumu rais na waziri kupokea rushwa anatembea huru kabisa kifua mbereeee
Hivi, uongo na rushwa kipi kinakupa kigugumizi!!!!!
 
Hofu ya nini, akiwa kama mtumishi wa Mungu wa kweli anaejinadi kila siku analindwa kwa damu ya Yesu alitakiwa avikemee maisha yaendelee, askofu wenu hana imani, kama anayo ni haba kwasababu imani bila matendo imekufa.
Sasa si ndo Mungu huyo aliyempa akili ya kuitumia kung'amua. Wale ambao hawakuhamisha walipatwa nini unajua? Au unafikiri kuwa akili ulizopewa ni za kuvalia nanii tu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…