Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Hana sifa za kuitwa Askofu, ni nabii wa uongo, haishi kwa kufuata maandiko.

Hauamini ulinzi wa Yesu ambae kila siku anamuimba yupo ndani yake.
 
SIngle shot double manifestation, wapigweeeeeee
 
Itakuwa shetani ndio kamuotesha.
Kikubwa kautii na kuskiliza moyo wake kwani kuna shida kuchukua kiti na mic nyingine. ndo maana mwenyekiti kamruhusu kiroho safi kabisa. Wala hakukuwa na mvutano.
 
Kabisa..wahenga walisema.

Ni zaidi ya korona. Ingekuwa korona si ungeona kavaa barakora kuubwa kama shati.
Korona mbona kawaida kuna Zaid ya korona ambayo inaua mapema tu ,hata incubation period ya 2 week ndefu😃
 
Acheni fikra za kipumbavu!

Kwa maelezo yako basi na wacha Mungu au Allah nao tuwaite wachawi?
Issue hapo sio uchawi et balii naye Ana sababu zake za kufanya ivooo na ndo maisha kila mtu Ana mental adjustment mechanism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…