mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Huyu GWAJIMA ni nabii halisi wa MUNGU wa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa shetani utawajua tu,Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
machaleMbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
kaogopa kwamba pengine mic imewekewa sumu au virusi vya korona ili baadae akipata waje watwambie mbona aliekua anapinga chanjo nayeye kapataUnahisi kaogopa nini kukataa kiti na maiki?
Jasusi la mbinguni [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe Kinga Bora kuliko tiba😆😆😆Rashidi bwana. Sasa kama anaweza kufufua nini kitamtisha tena duniani, uchawi? Sumu? Mzee wa amfifiro ana imani haba
Kwahiyo anakubali kuwa korona ipo?kaogopa kwamba pengine mic imewekewa sumu au virusi vya korona ili baadae akipata waje watwambie mbona aliekua anapinga chanjo nayeye kapata
Kikubwa kautii na kuskiliza moyo wake kwani kuna shida kuchukua kiti na mic nyingine. ndo maana mwenyekiti kamruhusu kiroho safi kabisa. Wala hakukuwa na mvutano.Itakuwa shetani ndio kamuotesha.
🤣🤣🤣Jasusi la mbinguni [emoji23][emoji23][emoji23]
yaani wewe unataka kufananisha Taleban na hawa wapinzani wa Tanzania wanaosubiri CCM ianguke bahati mbaya na sio kuiangusha...ndio maana hata Kigogo 2014 wa twieter anawashangaa...
Kabisa..wahenga walisema.Wewe Kinga Bora kuliko tiba😆😆😆
Ni zaidi ya korona. Ingekuwa korona si ungeona kavaa barakora kuubwa kama shati.Kwahiyo anakubali kuwa korona ipo?
Korona mbona kawaida kuna Zaid ya korona ambayo inaua mapema tu ,hata incubation period ya 2 week ndefu😃Kabisa..wahenga walisema.
Ni zaidi ya korona. Ingekuwa korona si ungeona kavaa barakora kuubwa kama shati.
Si ndo hapo Sasa jamanikakae mbele ya roli kama kweli una imani Mungu atakuokoa. yeye itakua amehisi wanaweza kuwa wameeka vitu sasa asiepuke kisa ana Mungu.
Issue hapo sio uchawi et balii naye Ana sababu zake za kufanya ivooo na ndo maisha kila mtu Ana mental adjustment mechanismAcheni fikra za kipumbavu!
Kwa maelezo yako basi na wacha Mungu au Allah nao tuwaite wachawi?
Jaman hapo Sasa itakuwa sio Imani Ila utakuwa unamjaribu mungu ,hatutakuta hata kucha😃😃🇹🇿🇹🇿🇹🇿Si ndo hapo Sasa jamani
Ofcoz I think so hata mmHuu mchezo inaonekana uliwahi kufanyika kwa mtu.