ππ¨π¨Amekumbuka yaliyomkuta Mwakyembe.
Cheka na watanzania lkn usipende wakuzoee.
JK aliwahi kusema kuwa wana CCM hawaaminiani hata kuacha kinywaji mezani.Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
Wangefanya Iwe live tu.Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jasusi la mbinguni [emoji23][emoji23][emoji23]
Msanii huyoRashidi bwana. Sasa kama anaweza kufufua nini kitamtisha tena duniani, uchawi? Sumu? Mzee wa amfifiro ana imani haba
Kwani wakimfuta unazani ana njaa ya ubungeAFUTWE UANACHAMA TU HANA LOLOTE
[emoji3][emoji3][emoji3]..ameomba abadilishiwe kiti na microphone.
..mbona hajaomba kubadilishiwa meza?
Imani haba.Ukiwa na imani haba hata chembe ya hardali,hutauona ufalme wa mbinguni.Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
Wewe ndiye mpuuzi na pimbi mkubwa. Ukome kushadidia visivyokuhu nyumbu mkubwa. Chanjo ni hiari na nyie subirini, tutawaangamiza 2025. Msifkiri watanzania wanafurahia mnavyojihemua kuandama watu kwa kwenda kinyume na misingi ya mzalendo Dkt MagufuliMpuuzi mmoja anaeendekezwa
Gwajima ni kidume....!! Kolomije style and Sukuma Gang.Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
Wewe umeshapima za kwako?Hakika wale wanaomfuata huyu jamaa na kuwa waumini wake kanisani wanabidi wapimwe akili
Wata Mkoliba, kwa hili nampongezaMbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
Nani kakwambia,,,Eliya na Musa walikimbia..iwe Gwaji...Anajifanya mcha Mungu halafu anakuwa na imani za kishirikina! Ni kipi kinamshinda Mungu iwe uchawi au sumu?
""Nilteeni GWAJIMA, Nilteeni GWAJIMA, nasema Nileteeni GWAJIMA"Wewe ndiye mpuuzi na pimbi mkubwa. Ukome kushadidia visivyokuhu nyumbu mkubwa. Chanjo ni hiari na nyie subirini, tutawaangamiza 2025. Msifkiri watanzania wanafurahia mnavyojihemua kuandama watu kwa kwenda kinyume na misingi ya mzalendo Dkt Magufuli
Kafanya la maana sana ...Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
Angeoneshwa na namna ya kuwaumbua waliotega basi kama ana upako. Kiti kingewaka moto au mic. Vinginevyo huyu jamaa ni kondoo kabisa[emoji1787]
Maono ya mtumishi sio mchezo, kaoneshwa mitego yote iliyotegwa kwa ajili yke!
#kama huna macho ya rohoni huwezi jua, kaa kimya tu
Kwani lini waliaminiana!Hii inaleta tafsiri mbaya kwa bunge na CCM!
Hawaaminiani?!