Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.

JK aliwahi kusema kuwa wana CCM hawaaminiani hata kuacha kinywaji mezani.
 
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.

Wangefanya Iwe live tu.
Hakuna kuaminiana maana JPM alinyweshwa sumu na wanna CCM,
Mangula,Mwakyembe.
Gwajima kafanya sawa.
 
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.

Imani haba.Ukiwa na imani haba hata chembe ya hardali,hutauona ufalme wa mbinguni.
 
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.

Gwajima ni kidume....!! Kolomije style and Sukuma Gang.
 
Wewe ndiye mpuuzi na pimbi mkubwa. Ukome kushadidia visivyokuhu nyumbu mkubwa. Chanjo ni hiari na nyie subirini, tutawaangamiza 2025. Msifkiri watanzania wanafurahia mnavyojihemua kuandama watu kwa kwenda kinyume na misingi ya mzalendo Dkt Magufuli
""Nilteeni GWAJIMA, Nilteeni GWAJIMA, nasema Nileteeni GWAJIMA"
John Joseph Pombe Magufuli(RIP)...President,5TH TERM.
 
[emoji1787]
Maono ya mtumishi sio mchezo, kaoneshwa mitego yote iliyotegwa kwa ajili yke!

#kama huna macho ya rohoni huwezi jua, kaa kimya tu
Angeoneshwa na namna ya kuwaumbua waliotega basi kama ana upako. Kiti kingewaka moto au mic. Vinginevyo huyu jamaa ni kondoo kabisa
 
Fahamuni jinsi ya kujikinga na Covid-19.

Kama mambo yenyewe ndo haya ya kutegana, tutaanza kutembea na viti na maiki zetu......itakuwa kama kule fisiemu ambao hawaachiani glass za maji mezani.
 
Back
Top Bottom