Bungeni: Askofu Gwajima agoma kukalia kiti na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa na Kamati ya Maadili

CCM yangu plz plz, fukuzeni huyu mtu, fukuzaa plz, no one wanted this guy in CCM, isipokuwa Hayati Magu ndio alimtaka tu, sbb ya ukabila, CCM wala hakuwa mwanachama wa CCM huyu Pastor fake. Mnamchelewesha nn jamani, fukuza aaarrghrr
 
Mkuu

Ukabila?

wewe ni mwana CCM?!

Magu ni kabila gani ?

Gwajima ni kabila gani?
 
Nauliza tu japo ni kweli kunguru muoga huokoa maisha yake.

Askofu Gwajima ni mbunge je bunge likianza vikao hatakalia kiti chake bungeni na kutumia kile kipaza saut?

Askofu Gwajima ametutaka watanzania tuondoe hofu dhidi ya Corona, mbona yeye anaogopa kiti na mic?

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Back
Top Bottom